Bigirita What Happened my Brother

Kuna jamaa wanaingia hapa jf na kuchokoza sana ukijibizana nao watakuletea hasira. nadhani huyu mkuu alijibizana nao kwa hasira. Pole sana! Tuwe makini!
 
Rest assured that, can only happens to clear of confusion or uncertainty.

Mtumishi.

Na hapo hujaingilia mjadala?
sheria si zipo? clarifications kwenye mijadala means unaigilia mjadala with or without passion.
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.

Sasa na wewe ile siri yetu unataka kila mtu ajue ila kuna mtu .................nitakwambia
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.

Naona kama kuna BAN nyingine inanukia hapa... sorry ni pua zangu tu zimenusa! :ballchain:
 
Kuna jamaa wanaingia hapa jf na kuchokoza sana ukijibizana nao watakuletea hasira. nadhani huyu mkuu alijibizana nao kwa hasira. Pole sana! Tuwe makini!

Kuchokozana nina hakika hajafanya hivyo na hakika na quote moja ndo imepelekea hivyo kuna sehemu mtu aliquote niliona asubuhi.

Genekai unatafutwa na wewe lakini watu waonevu jamani pole
 
He will dear, atarudi na Tshirt ya JF kabisa
Infact, biashara ya Tshirts zenye print ya comparison ya mwanasiasa Wa***a na yule jamaa wa mwituni inaweza kuwa biashara nzuri sana, nitamshauri aanzishe that line of business,,,,,,TSHIRTS za wanyama wa mwituni.

picha ya kitimotto?
 
Kiroba kitaondoa period? we Elia weweeee!
Halafu ujue anampa Bigie tuisheni, tuisheni na viroba haviendani kabisa,.....tuisheni itageuka kuwa match/ sorry National exams

Mkuu kuna siri kubwa ndani ya kiroba! akifuata ushauri wangu atakuambia habari yake! :lol::lol::lol:
 
Nashangaa sana kwanini watu wanakuwa na beef na KEYBOARD yaani mtu unakuwa unakasirikia KEYBOARD za HP, DELL, COMPAQ kweli inabidi kuna watu wapelekwe mirembe for brain check up:lol::lol::lol:
 
Na hapo hujaingilia mjadala?
sheria si zipo? clarifications kwenye mijadala means unaigilia mjadala with or without passion.
Kheeee Kheeeee MODS wanabebwa kwenye mijadala kama Spika wa Bunge
 
Mi mzima nakula mishikaki, Itakuwa Big wamempandisha mori akapanda, Mods wakamramba juu kwa juu....

Bigi navyomjua hapandishagi mori kihivyo kuna mtu kaquote post yake kalabwa BAN atarudi by the way ana ID nyingine he wil be using that one for a mean time right???
 
Mi mzima nakula mishikaki, Itakuwa Big wamempandisha mori akapanda, Mods wakamramba juu kwa juu....
Mkuu, Bigie hakupandishwa mori, alimwita mwanasiasa jina la mnyama wa mwituni, then Quinine akafanya the same, Quinine akalamba BAN, Bigie akaendelea kupeta, Akaja MC person mmoja akaanzisha thread ya kulalamika kwa nini Bigie hajalambwa BAN wakati mshikaji wake amelambwa BAN.
Thats how it was bro.
 
Back
Top Bottom