Bigirita What Happened my Brother

Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.

:lol::lol::lol:
 
Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.

Ha ha haaaa, mkuu si wafungue mbuga ya wanyama!!!!
 
He will dear, atarudi na Tshirt ya JF kabisa
Infact, biashara ya Tshirts zenye print ya comparison ya mwanasiasa Wa***a na yule jamaa wa mwituni inaweza kuwa biashara nzuri sana, nitamshauri aanzishe that line of business,,,,,,TSHIRTS za wanyama wa mwituni.

Memo shauri yako usije na wewe ukala BAN umenichekesha maana duh asante mwaya
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.
 
Pata kiroba!
Kiroba kitaondoa period? we Elia weweeee!
Halafu ujue anampa Bigie tuisheni, tuisheni na viroba haviendani kabisa,.....tuisheni itageuka kuwa match/ sorry National exams
 
Ingawaje wakuu walisema hizi ban huruhusuwi kuomba lakin naona dalili bado unaweza kuomba
 
Mohammed Shossi amekuwa kinara wa kundi hili.
Kawachongea wengi sana.

Mimi sitaki unafki nimeona bora niweke hadharani no matter BAN.
Marytina dear, Bigie anakusalimu sana.
Anaenjoy mapumziko yake.
 
Back
Top Bottom