Big Up Hygeia & Erotica

papito huyo mbona sio mwarabu ila tu ningozi ambayo naitunza kwa vinakshi na

nutrients kibao kuhakikisha hata inapogusana na ngozi nyingine inakuwa nyororo na

kuleta raha. nywele kama unavoelewa lazima zipambwe! ukitaka kuweza tu webcam ndio mambo yote.

Kwa maana hiyo umejikoroga na umejipamba kwa nywele za maiti? Rangi na nywele ulizoumbwa nazo hazina mvuto?

Uzuri wa nkebe.
 
Erotica mi sina la kusema coz hii habari sio nzuri ingawa nilikuwa staki nataka ila imeniuma lol
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo huwa nakukubali, uko composed hadi raha; no rush ni full kuweka Mazingira sawa. Sept is okay with me, nishaset alarm ya a week kabla!

Leo you wispered words in ur dream, mmmh darling...
 
Kwa maana hiyo umejikoroga na umejipamba jwa nywele za maiti? Rangi na nywele ulizoumbwa nazo hazina mvuto?

Uzuri wa nkebe.

wala sijikorogi ila najipendezesha, usijifanye hujaelewa, nani ana shida na nywele

za maiti na hali zangu ni za ukweee? achana na majungu hayo papito, come this way...........:flypig:
 
Niende wapi papie? mie nisha kuja in terms with your ignoring me hivo i deal

with it ki utu uzima. Ni vile tu nakuhitaji msaada wako hasa kipindi hichi cha mapacha.

hata kama kwa kunishika mkono ukiwa pembeni.
 
Erotica mzima weye?? nafurahi kusikia twins wapo pouwa! na ndoa imesimama imara, wakiss on my behalf, waambie wakam haraka waje cheza na kadogoo wa sweetlady!

nimewachumu, nimewakiss, nimewa mwaaaaaah. wamefurahije? wanahamuje ya kukuona

wewe na mwenzato? ndio ujue sasa twins wana kiherehere. teh teh teh, but so sweet.
 
Mwanzoni nilidhani ni utani tu uhusiano uliopo baina ya HYGEIA & Erotica,but nimehakikisha mwenyewe
nilipoenda Kilimanjaro kumtembelea Hygeia na kukuta picha aliyoipiga na Erotica kwenye album yake.
205351_439067246115890_1314840905_n.jpg

Nadhani ilianza kama utani kwenye huu uzi https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ica-leyla-mwenda-angekuwa-gelfrend-wangu.html.
But kweli kipendacho roho hula nyama mbichi.Big up sana HYGEIA & Erotica.
Ila Erotica punguza ucheshi na utani mwingine ujue unawavutia wengi.

Yaan wewe Excellent kuchekacheka na mimi siku ile kumbe ulikuwa kwenye ukachero wa kukwapua picha yangu na Erotica kwenye albam? Niliitafuta sana nikashangaa imeenda wapi.Utakapokuja Desemba ntakuwa mwangalifu sana maana tumepiga picha nyingine moto zaidi za akshen. Naogopa ukizifuma hizo utazipeleka kwa Shigongo.
Lakini Exe, nisikushutumu sana maana ulitaka kuwadhihirishia wana chit-chat kwamba ule uzi wangu wa IMAGINATIONS umezaa matunda na kimwana Erotica amenasa. Nilipenda sana Gwangambo aone hiyo picha ingawa inaonyesha nusu ya kazi nzito tulokuwa tukifanya. Sehemu ya kichwa na mabega ndo yaonekana ila uki-imagine kinachoendelea kuanzia tumboni na kuelekea magotini, ndipo hapo Gwangambo atapiga pu****** ya kulipia.
Nawashukuru wale wote mliotutakia mema, na tunaahidi kuendeleza upendo wetu milele.
afroDenz mamie, tunaomba utupambe!
 
Last edited by a moderator:
nimewachumu, nimewakiss, nimewa mwaaaaaah. wamefurahije? wanahamuje ya kukuona

wewe na mwenzato? ndio ujue sasa twins wana kiherehere. teh teh teh, but so sweet.
205351_439067246115890_1314840905_n.jpg

Kama si mkorogo na nywele za maiti ni nini hiki? kwi kwi kwi teh teh teh! Huko hunileti hata nikiwa naamka asubuhi, mijitoto natural imejaa, unamjuwa Mwali weye? cheki kitu natural ya uhakika hii:

African_Woman.jpg

MashaAllah!

Last edited by a moderator:
Yaan wewe Excellent kuchekacheka na mimi siku ile kumbe ulikuwa kwenye ukachero wa kukwapua picha yangu na Erotica kwenye albam? Niliitafuta sana nikashangaa imeenda wapi.Utakapokuja Desemba ntakuwa mwangalifu sana maana tumepiga picha nyingine moto zaidi za akshen. Naogopa ukizifuma hizo utazipeleka kwa Shigongo.
Lakini Exe, nisikushutumu sana maana ulitaka kuwadhihirishia wana chit-chat kwamba ule uzi wangu wa IMAGINATIONS umezaa matunda na kimwana Erotica amenasa. Nilipenda sana Gwangambo aone hiyo picha ingawa inaonyesha nusu ya kazi nzito tulokuwa tukifanya. Sehemu ya kichwa na mabega ndo yaonekana ila uki-imagine kinachoendelea kuanzia tumboni na kuelekea magotini, ndipo hapo Gwangambo atapiga pu****** ya kulipia.
Nawashukuru wale wote mliotutakia mema, na tunaahidi kuendeleza upendo wetu milele.
afroDenz mamie, tunaomba utupambe!

Huyo Excellent inabidi asamehewe tu caramel flavoured Hygie, kafanya mambo makubwa na

ya ukweee hadi Gwangambo na kundi lake wamekimbia wenyewe! hata mm nashkuru

zile zengine umezificha, hapa itakuwa balaa zikiletwa jf. mwaaaaaaaaah papito.
 
Last edited by a moderator:
zomba mie tu huwa nakushangaa sana hio system yake at work inafanya vipi kazi,

katima maelf wa members jf, na maelfu ya sredi za jf lazima uingie yangu kwa gear na

kuniponda na kila mara kumleta Mwali kama mwanamke ambae waona ni bora zaidi yangu. maswali kwako.

1. Ni sababu hujui kutongoza na unanituma kwa Mwali kijanja?

2. Au ww ndio wale ambao Boflo kasema wana mastabeti kwa picha yangu hutaki kuadmit?

3. kitu gani kinakuvutia kwangu kikufanyacho ushindwe kabisa kupita bila kukoment na hali wadai hunikubali?

mwaaaaaaaah papito. come this way, nahsi umenidondokea na unanitaka pia ila hujitambui.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom