=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

I second every word of this post (except the purple of coz....)

Thank you MTM...
Yeah, if i was married that time wakati napanda deci sehemu kadhaa sasa ningekua kwenye 25 years

How many years in marriage do you have?
 
Asee....
Aliolewa na miaka miwili nini...
Hongera kwa hili Lady FF...

hahahahaha...mie nimesoma mara mbili mbili nikijua Asha kakosea, duu, c mchezo aisee, inahitaji moyo kweli kweli....khaaa....hizi ndoa za cku hizi cjui kama 2tafika huko aisee, unaju nilidhaniaga huyu ni sister duu fulani hivi...damn!
 
Yeah, if i was married that time wakati napanda deci sehemu kadhaa sasa ningekua kwenye 25 years

How many years in marriage do you have?


aaaiiseee... kumbe it was good ulichelewa... I am four years old... of coz was married at 18 for two years.... hii ni second...
 
Yaani Gaga anahitaji miaka 13 zaidi ili akufikie. Hongera sana. Here is your Pearl.<br />
<br />
<img src="http://www.swarovski.com/is-bin/intershop.static/WFS/SCO-Media-Site/-/-/publicimages/CG/B2C/PROD/240/14389W240.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
EMT mbona unamzawadia goroli..
 
Mentor my Kid bro just for non-argument sake... Kuna post katuma
Ezan huko nyuma.... imeelezea kua sasa he understands her mo'

Enways... I love your words on the appraisal on FF... and do take notes...

Notes nachukua zako dada..sidhani kama nitapata mke kama FF kwa kweli (no pun intended!)..naomba Mungu anipe mke mpole na mwelewa kama wewe...hata miaka mia tutadunda tu!!!
 
kama GT hivi hii sio ile ishu aliosema Muhadhiri ukitaka kuchangiwa kwenye mada wewe mwandike FF au Lizzy au NN....
 
FaizaFoxy is a one bad mama jamma. She is officially my JF favorite person and I am her number one stan. She so reminds me of Mwafrika wa Kike. Happy everything FaizaFoxy. You are the bestest.
 
Back
Top Bottom