Big Scandals By Mr R. J. Sabodo

BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
170
28
BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER)

Source: The Gurdian!

Mr R. J. Sabodo


I am shocked by the amount of money Cell phone companies rob from us daily with full official endorsement and clean payments.

Mobile phone subscribers are now more than 15 million. We a number three in consumption of this service in Africa. Mobile phone service in India is 11% - 15% times cheaper than here. Likewise, the United States is 9% - 11% times less, while Kenya and Uganda is 10% - 15% lower than here.

We all know that mobile is vital for survival in the modern age. I advice our government to abolish VAT on mobile phone calls and instead increase income tax for mobile phone companies to between 65% to 85%. This is because if the VAT is not claimed where the buyer is not VAT registered, who will know?

Can these mobile phone investor give us the figure for that they have earned for all the years they have been operating in this country? How much have they taken back to their mother country and how much is remaining?

Assume one mobile customer pays Tsh. 50/= per day that is a whooping 75m/= per day revenue for these companies. Multiplied by 365 days that equal 273.75bn/= which is a very hypothetical minimum that phone companies earn per year. The poor man is being robbed of the little he has.

Scandals like BOT, EPA, Gold which is sold like iron ore, Richmond etc, are nothing compares to this because there is official endorsement of the government. I advice strongly that if the Government goes with this kind of polices, then the majority poor will suffer.

I urge the Government to become a partner for these companies. Government should acquire 65 percent share of these and list in the stock market so that it can be sold at not more than T sh. 50000/= per share so as to benefit majority of Tanzanias.

Please give response if I am right or wrong to:

Mr R. J. Sabodo


N.B. 50/= shillings is the most minimum. But if you workout at 100/= you will be amazed how we are looted! And if we pay 500/= shs. Daily, nothing shall be left, Tanzania will be a desert.



Nawasilisha Hoja! Mawazo yenu ni muhimu sana.
 
Mkuu Bado nipo,

Hili mie nilisema wazi toka siku nyingi kuhsu Kampuni za Simu,Nadhani Mod anaweza baada sana kurudisha Post yangu ya kipindi kile kuhsu kampuni za simu.

Kwa sasa kwa kila shillingi 1,000 unayo weka katika simu unalipia wastani wa 300 hadi 350 kama kodi ,na nyingine ndiyo matumizi unayoweza kuyafanya kupitia kampuni za simu zilizopo.Serikali inaendelea kuwaumiza wananchi.

Kinachonikera sana ni jinsi hizi kampuni kupandisha Bei bila hata kuwataarifu watanzania kwamba wamepandisha.Kwa mfano kampuni ya Vodacom kwenda Mitandao nyingine ni kama 450.

Yes I support sabodo.Excise Duty ya aislimia 12 ilipwe na hivi kampuni za simu.haiwezekani mwananchi alipe asilimia 20 ya VAT pamoja na Excise Duty,Na madudu haya yanachangiwa na the so called TCRA.

TCRA wao ndiyow alioiua TTCL,na sasa wameamia kwa wanchi na kuna wakati flani walifikia hatua ya kutaka wananchi wato wenye TV wawe wanalipia Kodi.

Yes I have Said,TCRA Boss Should Step down!
 
TCRA is far better to handle this because has the mandate to regulate telecom industry in the country.

Let us not forget the fact that production costs are much higher in TZ than any of the countries mentioned (Uganda, Kenya, India etc), and one major cause is electricity.

Mobile companies needs 24/7 supply of electricity (Tanesco or generators). Tanesco supply is still not reliable in many areas so they resort to generators. But we also know the price of diesel.

Prices can go down, as long as electricity is controlled (supply and price) and abolishment of unnecessary taxes (that at end of the day are subjected to consumer).
 
jamani, kila kukicha kumekua kunaanzishwa regulatory authority ambazo hata nashndwa kuelewa zinatoa mssada gani kwa mwananchi wa kawaida, matokeo yake naona zinazidi kuwa kero tu kwa wananchi, madhalani:

EWURA -Energy and Water Utilities Authrity

SUMATRA -Surface and Marine Transport Authority

TCRA -Tanzania Communication Regulatory Authority

PPRA -Public Procurement Regulatory Authority

TFDA -Tanzania Foods and Drugs Authority

TBS -Tanzania Bureau of Standards

BRELA -Business Registration and Licencing Authority

PPAA -Public Procurement Appeals Authority

THA -Tanzania Harbours Authority

TRA -Tanzania Revenue Authority

CMSA- Capital Market and Securities Authority


kwa mtazamo wangu hizi authority zimekua nyingi na zimenza kuwa mzigo kwa wananchi kwa kushindwa hata kusimamia maslahi ya wananchi kama inavyopaswa...!
 
Mr. Sabodo I think you are right in saying government should reduce the VAT on mobile services because the rate is the high side compared to elsewhere. This is a vital service which should be spared from prohibitive taxes appilcable to luxury goods. However, I not that sure that you got it right when you say the mobile companies are making a 'killing" and getting a lot money without looking at the other side of the coin. How about the investiments these companies put up to get these services up and running? It is not manor from heaven. These are bank loans which have to be repaid. Secondly, it will be quite unfair to put a discirminatory taxes regime to cater only for the mobile companies while the rest of companies remain at 30% income tax threshold. I also do not agree with you on similarities between the bona fide companies operating in the country with the rip-off schemes like EPA and Richmond. In the latter is it pure thieving but in the former it is a matter of negotiations. In business you do not get what you think you deserve but what you negotiate for. If Govermnet is getting a raw deal from the VodaCom et al, it is because the Government is a poor negotiator. They should shape up.
 
I support Mr Sabodo 100% but the Government will pretend as if they are not aware with this daylight robbery. Is it possible to get a breakdown of the charges that the mobile companies charge per minute among the same provider or to another one? why is this so? TCRA need to come out and tell wananchi what is happenning. Silence from them means they are not for wananchi or subcribers.
 
I'm not an economist but this idea is retarded!!!!

VAT is govt money that is collected on govt's behalf by the phone companies. VAT goes to the govt whether the phone companies have made a prfit or not, it is govt money.

Income Tax on the other hand is money taxed after profits are realised. Do u believe the phone companies will pay anything after they deduct the massive ballooned expenses???

Go to the mining companies and see how the game is played.

The cost of mobile rates have to come down from the phone companies portion of the total cost not from VAT ( VAT is the money that run the govt). With competition hopefully the rates will come down more but not with VAT reduction.
 
jamani, kila kukicha kumekua kunaanzishwa regulatory authority ambazo hata nashndwa kuelewa zinatoa mssada gani kwa mwananchi wa kawaida, matokeo yake naona zinazidi kuwa kero tu kwa wananchi, madhalani:

EWURA -Energy and Water Utilities Authrity

SUMATRA -Surface and Marine Transport Authority

TCRA -Tanzania Communication Regulatory Authority

PPRA -Public Procurement Regulatory Authority

TFDA -Tanzania Foods and Drugs Authority

TBS -Tanzania Bureau of Standards

BRELA -Business Registration and Licencing Authority

PPAA -Public Procurement Appeals Authority

THA -Tanzania Harbours Authority

TRA -Tanzania Revenue Authority

CMSA- Capital Market and Securities Authority


kwa mtazamo wangu hizi authority zimekua nyingi na zimenza kuwa mzigo kwa wananchi kwa kushindwa hata kusimamia maslahi ya wananchi kama inavyopaswa...!

Haipo tuna TPA = Tanzania Ports Authority but still authority lol
 
BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER)

Source: The Gurdian!

Mr R. J. Sabodo



Mobile phone subscribers are now more than 15 million.

Where did you get this figure from, this is to say over 40% of all Tanzanians owns mobile phones..please check your number coz i dont think is more than 10 million.
 
BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER)

Source: The Gurdian!

Mr R. J. Sabodo



Mobile phone subscribers are now more than 15 million.

Where did you get this figure from, this is to say over 40% of all Tanzanians owns mobile phones..please check your number coz i dont think is more than 10 million.

What difference does it make?The issue here we are being robbed and the stupid govt should do something to decipher this huge quandary!
 
Ukweli ni kuwa hapa lazima Serikali/TCRA ifanye kitu kabisa, vinginevyo lazima hizi kampuni zitatumika kuwa EPA ya uchaguzi wa 2010. Kodi ya VAT inakwepwa kichizi maana anayeripoti kodi ya VAT iliyokusanywa ni muuzaji na si mnunuzi.

Hivi hatuna chama cha Kutetea Walaji hapa TZ, nadhani lazima tuchukue hatua kukomesha huu wizi wa mchana ukizingatia kuwa Makampuni mengine yalipewa Tax holiday.

Haiwezekani lazima tuchukue hatua na Serikali ichukulie uzito swala la kuondoa VAT si kwa Watumiaji wa simu za mkononi tu hata bidhaa nyingine.

Wabunge wa Upinzani mko wapi; hii ni deal ya kura
 
BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER)

Source: The Gurdian!

Mr R. J. Sabodo

ere.


Scandals like BOT, EPA, Gold which is sold like iron ore, Richmond etc, are nothing compares to this because there is official endorsement of the government. I advice strongly that if the Government goes with this kind of polices, then the majority poor will suffer.



sijapenda sana hii issue ya kurahihisisha kuwa EPA, richmond, siyo kitu kama gharama za simu, huyu mzee ana lake jambo, huenda ametumwa na mafisadi wa epa au yeye naye ni EPA sasa anataka tu-divert mind zetu, hasa ukizingatia kuwa huyu mzee huwa anagawa pesa kama njugu kwa ajili ya cheap popularity, kama umetumwa hapa hapana.

kuhusu gharama za simu ni kubwa sana, kuna mtu hapa anasema gharama hizi zinatokana na gharama za umeme. si kweli kuwa ile minara inahitaji generator kwa masaa 24, huwa generator inawashwa kwa masaa matatu kati ya 72 kwa sehemu zisizo na umeme.

isitoshe sehemu ambazo hamna umeme generator zile zinatumia kama lita 300 tu kwa mwezi, kama shilingi 700,000, wakati mnara wa hali ya chini kabisa kama lusewa kule songea namtumbo unaingiza szaidi ya 23,000,000 per day.
 
Hili suala mnalichukulia kijuu juu tu, lakini liko very complicated. Afadhali Sabodo amesema, sasa ngoja nije niwapakulie wimbo mtamu sana, mjue kinachoendelea.

Ufisadi unaofanywa na hizi kampuni za simu hapa nchini ni wa hali ya juu na ni very sophisticated, na mpaka watu waje wazinduke, hawa jamaa watakuwa wamevuna kiasi cha kuweza hata KUTUNUNUA sisi tukiwa hapa hapa kwetu!

Na tena KUTUNUNUA kwa pesa zetu wenyewe!

Njaa na uzalendo ni vitu mbali mbali!

Sasa tuache njaa zetu, tushike uzalendo.

Nishasema, mwenye kukasirika na akasirike!

./Mwana wa Haki
 
NIlipokua kule Dar yapata miezi miwili ilopita; nilifanikiwa kuongea na watu wengi wenye upeo katika maeneo mengi ,kuhusu gharama za simu.
Wengi walionyesha kuto ridhika kabisa na udadisi wangu, hatahivyo hawakutoa misimamo yao wazi lakini walionekana kusema indirect kwamba simu za mikononi ni bora kuliko kitu chochote kile wananchokijua katika mawasiliano, pia kwamba gharama za simu haziwakeri.

Walidai kwamba simu zimerahisisha mawasiliano na kuongeza kwamba gharama za uendeshaji wa mitambo ya simu ni kubwa sana pia bei ya mitambo hiyo ni kubwa.
Niliuliza maswali kwamba wanajua gharama za kuendesha mitambo hiyo ya simu za mikononi ni kiasi gani kwa siku? Je mitambo hiyo iningiza faida kiasi gani kwa siku?
JE wanadhani mitambo hiyo imenunuliwa cash huko ughaibuni au ni mikopo ya Benk ya miaka pengine 15 au zaidi?

Majibu yao yalinichnganya.
Wengi walidai hakuna mkopo wa fedha nyingi wa kulipa miaka 15 nisiwafunge kamba za katani.

Wengine walidai mitambo iliyo fungwa ni ya kisasa inafanyiwa majaribio kwetu kwanza kwa hiyo kuna gharama nyingi zimejificha.

Wengine walidai simu ni aghari kwa vile ukipiga simu hata kama haiendi nje ni lazima connection yake ifanyike nje ya nchi kupitia Satelite.

Wengine waliishia kusema usilinganishe hapa na Marekani huko kwenu mmeendelea ,sisi ni lazima tulipie zaidi kwa sababu hatuna wataalamu wawezao kutengeneza mitambo hiyo au kuifunga.

Sijui majibu haya kama yalikuwa na uhusiano na maswali yangu ya msingi! Hasa ikizingatiwa kwamba kundi la watu nilio wauliza ni wasomi wa fani nyingi zikiwemo Engineering,Economics Law na Business.
Nilipo mwuliza baba yangu mzazi kuhusu gharama yeye alisema kweli ni gharama lakini mbona kila kitu siku hizi ni gharama?

Sikutaka kuendelea kuuliza.

Kisha kuna Swala la Status.
Niliona watu wengi wenye vipato vya kati wakiwa na simu za ambazo ni $400-$1000.
Kwao simu hizo zilionekana kuwaongea ujiko na kuwapandisha daraja hata kama bei yake ilikuwa ni sawa na Roba ya nguvu ya kibaka mzoefu pale Manzese.

Swali la kujiuliza ni hili; Je ni Watanzania wangapi wanadhani simu za mikononi ni gharama?
 
mzee huyu mzee muache kabisa ..anayo jeuri na kamwe hawezi kutumiwa..hilo no...huyu mzee sasa hivi anachotafuta duniani ni heshima tu.....sio pesa..uliza wanaomjua...

Hoja aliyoibua mzee sabodo ni kweli....makampuni ya simu tanatunyonya sana watanzania..............

Hii hoja aliyochokoza ni serious ..na inahitaji mjadala mkali wa wasomi,wadau na wanasiasa ,watumiaji ,na wananchi kwa ujumla...serious!!!
 
Nipo hapa bongo. japo sijafanya utafiti katika eneo hili, lakini kama mtumiaji wa simu, ninasikia maumivu makali sana kwa kutumia simu ya mkononi/internet.

Maajabu ya Musa ni kwamba gharama za kutumia simu ya mkononi Norway na hapa kwetu zinakaribiana. Sisi wabongo kwa kipato kipi? Hii pekee inaonyesha something is not quite right here.
 
mzee huyu mzee muache kabisa ..anayo jeuri na kamwe hawezi kutumiwa..hilo no...huyu mzee sasa hivi anachotafuta duniani ni heshima tu.....sio pesa..uliza wanaomjua...

Hoja aliyoibua mzee sabodo ni kweli....makampuni ya simu tanatunyonya sana watanzania..............

Hii hoja aliyochokoza ni serious ..na inahitaji mjadala mkali wa wasomi,wadau na wanasiasa ,watumiaji ,na wananchi kwa ujumla...serious!!!

Jamani huu ni ukweli usiopingika kabisa kuwa haya makampuni ya simu yanatuibia sana. kwa mfano kuna siku niliweka pre paid voucher ya elfu mbili
nilipiga simu kwa watu wawili na niliongea kwa dakika moja kwa kila mtu, kuja kuangalia salio nikakuta nina mia mbili tu kwa kweli nilishangaa sana. ukiwapigia customer care unaambiwa bla bla kibao.
 
mimi namuunga mkono Mzee Sabodo; tatizo la hii nchi ni kukosa ubunifu kama si woga na rushwa katika mifumo ya kodi. kuna sector nyingi ambazo zingetozwa kodi vizuri kusingekuwa na haja ya Kikwete kufurahia kila senti ya USA. Hii ni sector moja inayopata faida kubwa na kutozwa kodi ndogo sana. mamlaka zetu ni majina tu hakuna kipya, hazina tija kwa taifa na Uongozi wa nchi ni dhaifu sana ktk masuala ya msingi mno. KWELI BILA KUBADILIKA TUTAENDELEA KUPIGA KELELE MILELE
 
huyu mzee sabodo nimzalendo kupindukia tofauti na matajiri wengine wenye asili ya asia. who knows the source of his fortune? help us plz
 
sabodo nae msanii sana amesindwa kuyasemea mambo mengi ya nchi amekurupuka kwenye simu tu???mengine jeee?kama kweli ana uchungu nanchi hii...aweke orodha ndefu sana ya maasi yote ambayo yanadididimiza hali ya wananchi wengi..simu ni mojawapo litajadiliwa kupitia vyombo husika ila mengine je?
 
Back
Top Bottom