Big quake in Haiti 7.0 magnitude

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
By JONATHAN M. KATZ, Associated Press Writer Jonathan M. Katz, Associated Press Writer – 35 mins ago

PORT-AU-PRINCE, Haiti – The largest earthquake ever recorded in the area rocked Haiti on Tuesday, collapsing a hospital where people screamed for help and damaging other buildings. An aid official described "total disaster and chaos."

Communications were widely disrupted, making it impossible to get a clear picture of damage as powerful aftershocks shook a desperately poor country where many buildings are flimsy. Electricity was out in some places.

Karel Zelenka, a Catholic Relief Services representative in the capital of Port-au-Prince, told U.S. colleagues before phone service failed that "there must be thousands of people dead," according to a spokeswoman for the aid group, Sara Fajardo.

http://news.yahoo.com/s/ap/cb_haiti_earthquake
 
Haiti been catching hell man, I feel sorry for those people. China na AU wakianza kuwa actively involved kuisaidia kiuchumi kuna wakubwa hawatapenda. Hivi Aristide bado yupo SA?
 
...hali ni mbaya sana huko, na jinsi Haiti yenyewe ilivyo maskini!
Ikjulu, hospitali zote zimepigwa chini,... inasikitisha sana.
 
capt.7967d8421b7440a0a449529c135d3dc0.haiti_earthquake_xht104.jpg


Hii ndo hospitali yenyewe ...angalia ilivyomeguka kama biskuti...duh tetemeko lina nguvu za hatari sana...i cant imagine that!
 
slide_4372_61421_large.jpg


A man carries an injured child outside Hotel Villa Creole in Port-au-Prince, Haiti on Tuesday, Jan. 12, 2010 after the strongest earthquake in more than 200 years struck Haiti.


slide_4372_61423_large.jpg


A destroyed building near the Hotel Villa Creole in Port-au-Prince is seen on Tuesday, Jan. 12, 2010 after the strongest earthquake in more than 200 years struck Haiti.


slide_4372_61426_large.jpg



slide_4372_61428_large.jpg
 
Duh.......Pole Haiti......hali ni mbaya sana....inasikitisha
 
more shocking pictures





 

Attachments

  • 4.jpg
    4.jpg
    86.8 KB · Views: 109
  • 10.jpg
    10.jpg
    136.3 KB · Views: 108
  • 11.jpg
    11.jpg
    111.4 KB · Views: 119
Hali ni mbaya sana wajameni tuwaombee tu! death toll inaweza kuwa kwenye thousands!
 
Inakuwaje hii dunia tunaspend so much kwenye mavita lakini yakitokea matukio kama haya hatuna hela, priority zetu ziko wapi? Inakuwaje kwenye dunia ya leo yenye so-much excess nchi maskini kama Haiti zinaexist? This is so wrong.

Na kuna scientists walioona hii earthquake inakuja? Can we say HAARP?
 
Inasikitisha sana na kutia huruma.

Haiti ni nchi yenye Uhuru kwa takribani miaka 200. Heiti ni nchi iliyo isaidia USA kuwatoa Waingereza, lakini sasa imekuwa ndio nchi Maskini kuliko zote.

Heiti wanaitaji miujiza na maombi yetu wote, ili Mungu awasaidia kutokana na janga hili la tetemeko.
 
Inasikitisha sana na kutia huruma.

Haiti ni nchi yenye Uhuru kwa takribani miaka 200. Heiti ni nchi iliyo isaidia USA kuwatoa Waingereza, lakini sasa imekuwa ndio nchi Maskini kuliko zote.

Unajua ni kwa nini? Jibu liko wazi...
 
Unajua ni kwa nini? Jibu liko wazi...

Well, if you can pray, I will say pray for them. Jirani yangu hapa, anatoka Heiti, na mama yake ndo alikwenda Haiti last week, kwahiyo, najua jinsi hii habari inavyo weka athari kwa maisha yake.

Again, it is time to think positive.
 
Well, if you can pray, I will say pray for them. Jirani yangu hapa, anatoka Heiti, na mama yake ndo alikwenda Haiti last week, kwahiyo, najua jinsi hii habari inavyo weka athari kwa maisha yake.

Again, it is time to think positive.

Acha kusali, toa mchango txt YELE501501
 
AP – A man gestures behind a person trapped in the rubble of a collapsed building in Port-au-Prince Wednesday,
 
Back
Top Bottom