Big brother africa inarudi - serikali toeni tamko kukataza wa tz kushiriki

wewe matola kwa nini unataka Tanzania isishiriki kwenye BB?
Tanzania haiwezi kushiriki kwenye U.P.U.U.Z.I huo, ila Mtanzania mmoja mmoja ana haki na ni uhuru wake kushiriki, isitoshe hiyo ni biashara ya multichoice. ni kama vile ushauri aliotoa David Cameron kwamba mashoga wapewe haki zao na wasinyanyaswe, kwa hiyo hata wewe Ivuga ukiupenda ushoga ni hiyari yako kuwa shoga lakini sio msimamo wa Tanzania. ninakuomba sana ujuwe kutofautisha kati ya National Agenda na Personal Agenda.
 
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?
Big brother ya mwaka huu wanaruhusiwa mke na mme kushiriki , mimi nampendekeza Ephraim Kibonde wa clouds fm
 
Hivi uliona wapi freemasons wakakataza mambo kama haya.Jama, haya si ndio mambo yenyewe.
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?
 
Tanzania haiwezi kushiriki kwenye U.P.U.U.Z.I huo, ila Mtanzania mmoja mmoja ana haki na ni uhuru wake kushiriki, isitoshe hiyo ni biashara ya multichoice. ni kama vile ushauri aliotoa David Cameron kwamba mashoga wapewe haki zao na wasinyanyaswe, kwa hiyo hata wewe Ivuga ukiupenda ushoga ni hiyari yako kuwa shoga lakini sio msimamo wa Tanzania. ninakuomba sana ujuwe kutofautisha kati ya National Agenda na Personal Agenda.
sijakuelewa bado...sasa BB ina tofauti gani na u miss world?
 
nilitaka kushiriki lakini wife kanipiga mkwara...too bad for me.kwani serikali itawafunga jela wale wanaoshiriki?kama wako serious waipige stop dstv
...Unaweza kumshawishi wife mkaingia wote this time inaruhusiwa kuingia na mtu wako wa karibu..
 
hapa tatizo nini? sababu hata kwenye media wanataadharisha age restriction! above 18! wanaoshiriki ni above 18! sasa familia anaetakiwa kuiprotect wa kwanza ni mzazi!
 
Serikali mtaidai mangapi? hebu achen hizo. Serikali ishajivua hiyo issue so wanaokwenda wanaenda kama watu binafsi. Kuwakataza nisawa na serikali kuzuia watu kufanya mapenzi nje au kabla ya ndoa. Ndo maisha ya kuvumiliana. Kuna channels nyingi sidhani kama serikali inaelekeza watu wafungue BIg brother. Istoshe kwenye king'amuzi hicho kuna namna unavoweza kurestrict watoto.
 
hehehhe na safari hii, unaweza kuingia na mtu umtakaye..awe mzazi -mama/baba yako, rafiki, mpenzi..... mbona itakuwa kazi humo ndani! Unaingia na mama yako, wanamsarandia humo ndani.Huku nje tunaona mama yako anavyomegwa ndani ya BBA!
Tusubiri sodoma na gomora tu.

Mh hapo kwenye kwenda na mpenzi au mke wako au mumeo napo kuna utata. Anaweza kumzimia mshiriki tofauti na mwandani wake. Sasa huku sijui wakwe na mashemeji wataona movie gani. last time it was Amplified, but this time itakuwa Boostfied
 
Acheni iwepo sema this time commercial sexy worker wapewe nafasi maalum ya kushiriki peke yao, watangazaji na watoto wa kishua wakae chonjo. Ili kama kufunguka watu wafunguke kweli
 
off course kaka..hii inasaidia kulitangaza taifa kama hujui sasa.

Duuuu!tumeshindwa kijitangaza kwa mlima kilimanjaro mpka Kenya wanauchukua?na hata kiswahili chenyewe kinajulikana ni cha kenya.....ndio tujitangaze kwa Ngono na uzinzi/uasherati????????? c'mon man you can be better than this..
 
Hapa tunadhalilishwa taifa si familia ya mhusika. ingekuwa mshiriki anatambulika kama mshiriki wa familia fulani hii sawa lakini mwakilishi anatambulishwa kama ni mshiriki kutoka tanzania. naomba unielewe. acha jazba.

Huyo mshiriki atakuwa anajipendekeza kwa Taifa,ambalo halimtambui... Haina haja ya kumzuia mtu kushiriki...

Ni sawa na binti yako akishika mimba akiwa sekondari,mara nyingi unamfukuza,ingawa unatambua bado ni binti yako..
 
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?

Hayo ni mambo binafsi ya kibiashara, kwanini uihusishe serikali? serikali imeshasema haibariki. Haina maana wapige marufuku. Waache vijana wakatuoneshe vibweka na huko makaburu wa SA wanalamba michuzi ya uhakika kwa kuwaanika.
 
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!

Au nyie mnaangalia usiku-usiku tu? Wakati washiriki wanaenda kulala? Angalieni mchana,au zile za weekly,ambazo ziko edited tayari...
 
Duuuu!tumeshindwa kijitangaza kwa mlima kilimanjaro mpka Kenya wanauchukua?na hata kiswahili chenyewe kinajulikana ni cha kenya.....ndio tujitangaze kwa Ngono na uzinzi/uasherati????????? c'mon man you can be better than this..

Wacha ushamba, kuna nchi duniani wantangaza utalii wa ngono (sex tourism) moja wapo Brazil na nyingine Thailand.

Wacha vijana wakasterehe nafsi zao watustareheshe na sisi. Si unaona Mwish kalamba bingo, toto alilolioa kalipata kwenye BBA kwao vizito ile mbaya, na hivi yuko huko huko afanye nini kwenye mavumbi huku. Bongo Bingo.

Si bora wakauze BBA kuliko kuuza Ohio na Kinondoni.
 
Yaani nkisikia BBA brain inaingia kwa archive na kuireplay ile siku dada yetu alivyokuwa anakanyagwa!
Mbaya zaidi kabeba jina la nchi.
Dah.........................................
 
PG laws should be applied kwenye hiyo channel.ikiwezekana isiwe available kwa subscribers wa majumbani
 
Kimbweka atakuwa ndani ya nyumba kwa hiyo mtegemee mengi katika jukwaa la mambo ya kikubwa
 
Wacha ushamba, kuna nchi duniani wantangaza utalii wa ngono (sex tourism) moja wapo Brazil na nyingine Thailand.

Wacha vijana wakasterehe nafsi zao watustareheshe na sisi. Si unaona Mwish kalamba bingo, toto alilolioa kalipata kwenye BBA kwao vizito ile mbaya, na hivi yuko huko huko afanye nini kwenye mavumbi huku. Bongo Bingo.

Si bora wakauze BBA kuliko kuuza Ohio na Kinondoni.
sasa wewe unaona maonyesho ya ngono ndio ujanja?Kuna watu mna akili mbaya sana hapa duniani.Ngoja nikuache uendelee kujifananisha na brazil mpka YESU atakaporudi..
 
Back
Top Bottom