Big brother africa inarudi - serikali toeni tamko kukataza wa tz kushiriki

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?
 
Tamko la nini sasa? Serikali halilitambui shindano hilo ni sawa, lakini Serikali haina ubavu wala sababu ya kuwazuia watu wanaopenda kwenda huko. Wale wanaokwenda huko ni watu wazima above 18yrs na wana haki ya kufanya wapendacho
 
Hapa tunadhalilishwa taifa si familia ya mhusika. ingekuwa mshiriki anatambulika kama mshiriki wa familia fulani hii sawa lakini mwakilishi anatambulishwa kama ni mshiriki kutoka tanzania. naomba unielewe. acha jazba.

acha ujinga..ukiona mavi njiani kwani lazima uyashike?acha kuangalia kama inakukera dogo.
 
Hapa tunadhalilishwa taifa si familia ya mhusika. ingekuwa mshiriki anatambulika kama mshiriki wa familia fulani hii sawa lakini mwakilishi anatambulishwa kama ni mshiriki kutoka tanzania. naomba unielewe. acha jazba.

off course kaka..hii inasaidia kulitangaza taifa kama hujui sasa.
 
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!
 
nilitaka kushiriki lakini wife kanipiga mkwara...too bad for me.kwani serikali itawafunga jela wale wanaoshiriki?kama wako serious waipige stop dstv
 
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!

wewe matola kwa nini unataka Tanzania isishiriki kwenye BB?
 
Mnazeeka vibaya aisee...mnaacha kushughulikia mambo ya muhimu yanayoila nchi mmebaki kulalamika tu kila siku..
 
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!

ha ha ha nakufananisa na mama Lwakatare aliyetaka JF ifungwe.
 
Kabla serikali haijatoa tamko kwanza wewe unayemind angalia una dada hajazalishwa nje ya ndoa????BBA mpango mzima n kama unaipenda BBA tuombeane heri nipo katika michakato mwanenu kuwakilisha TZ!!!!!tutajuzana kwa jina halisi
 
Mimi sioni hilo shindano linachofundisha zaidi ya mambo ya kihunihuni tu, uasherati na ulevi. Serikali inabidi ichukue hatua manake washiriki huwa wanadai kuwakilisha nchi zao na si kujiwakilisha wao wenyewe.
 
hivi unawezaje kumzuia mtu big brother?tuna mambo ya kudeal zaidi ya waoga uchi kama richard,.kwani wakikaa uchi inakuathiri vipi wewe na familia yako?
 
Kwa hiyo wewe unaona sawa tu kukaa na familia yako na kuangalia watu wanaoga uchi na kufanya mapenzi hadharani, siyo!!!!
 
Multchoice agent at work.

Kabla serikali haijatoa tamko kwanza wewe unayemind angalia una dada hajazalishwa nje ya ndoa????BBA mpango mzima n kama unaipenda BBA tuombeane heri nipo katika michakato mwanenu kuwakilisha TZ!!!!!tutajuzana kwa jina halisi
 
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?

hehehhe na safari hii, unaweza kuingia na mtu umtakaye..awe mzazi -mama/baba yako, rafiki, mpenzi..... mbona itakuwa kazi humo ndani! Unaingia na mama yako, wanamsarandia humo ndani.Huku nje tunaona mama yako anavyomegwa ndani ya BBA!
Tusubiri sodoma na gomora tu.
 
Kabla serikali haijatoa tamko kwanza wewe unayemind angalia una dada hajazalishwa nje ya ndoa????BBA mpango mzima n kama unaipenda BBA tuombeane heri nipo katika michakato mwanenu kuwakilisha TZ!!!!!tutajuzana kwa jina halisi
unapanga kuingia na nani mwenzetu?
 
Nadhani tatizo ilikuwa ni kwa washiriki kuitwa wawakilishi wa nchi fulani, na kwa Tanzania washiriki wetu mara nyingi/zote walikuwa wanabeba bendera ya Taifa....serikali hakupenda hilo hasa baada ya yanayotokea. Hawakuzuia ushiriki, ila hutakuwa unaliwakilisha taifa wala kubeba bendera ya taifa!
 
Wawe huru kwenda na kushiriki huko BBA ila waende huko kama wakilishi wa familia zao ambazo ndizo zinabariki vijana wao kwenda kushiriki. Tanzania kupitia wizara ya utamaduni na michezo itoe tamko bila kumungunya maneno kuwa waendao huko siyo wawakilishi wa wananchi wa Tanzania. Kuna watanzania wengi tu wamesambaa ulimwenguni kote wakiendesha ukahaba; ushoga et al lakini hawafanyi hivyo kama wawakilishi wa Tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom