Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Uganda...Jannette and Kyle (friends???)

Kabinti bado kadogo dogo sana!!

Hahahahahahah...wanachekesha hawa waganda!!
 
Zambian coule Tamarra and Tala (girls)

Wanavutia sana hawa watoto....Kuna mmoja kaacha minyonyo nje kama kichaa!!
 
watz bwana jamaa kaja na kifimbo sijui cha kuchapia wenzake,wakati yule mshiriki wa Ghana kaja na mfuko akidai atabebea hiyo midola.
 
Back
Top Bottom