Big Brother Africa 2011 - Amplified (Wawakilishi wetu from Tanzania)

...hivi ni kwanini Tanzania imepeleka wawakilishi wawili?, na wote wanatoka Media House moja, EATV

Hayo sasa ni majungu mchana kweupeeee! Jamaa wana vigezo ambavyo vipo wazi kabisa na wanatangaza sana tu. Tatizo watu hatujitokezi kuchukua form za usahili. Wewe ulichukua? na kama uwapendi hao unataka nani angeenda? au nani alishiriki kwenye usahili akabaniwa? haya ni mawazo mgando.
 
Binti yetu Lotus alilewa cocktail mpaka akawa chizi na kichupi tuu, She is fun tho talks too much nonsense. Pombe imemshida dada yetu. Bhoke washiriki wenzie wamemshtukia kwamba yuko too fake, anapretend too much but she is good.
 
Mwaka huu big brother ipo kweli?

Ipo na itaanza September,Ilihairishwa kwasababu ya worldcup na Audition itaanza Leo pale New Africa hotel kuanzia Saa tatu kamil.Vigezo na Mashart kuzingatiwa.(Umri kuanzia miaka 21,Awe Mtanzania na Awe na passport Tayar,ajue kuongea vizur kizungu lol,awe anajihamin na mchangamfu).
 
eheee.. niliskia Dida wa Ezden alikuwa anajing'oa ung'eng'e ili ende mjengoni...
hizi auditions zitakua zimeua ndoto zake coz alijua ashachaguliwa.....lol
 
eheee.. niliskia Dida wa Ezden alikuwa anajing'oa ung'eng'e ili ende mjengoni...
hizi auditions zitakua zimeua ndoto zake coz alijua ashachaguliwa.....lol

Hvi dida alifikiri kwenda huko ni kama kuongoza kipindi cha mipasho kwanza qualification hana
 
eheee.. niliskia Dida wa Ezden alikuwa anajing'oa ung'eng'e ili ende mjengoni...
hizi auditions zitakua zimeua ndoto zake coz alijua ashachaguliwa.....lol

Kwani kuna mtu ashawahi kwenda BBA bila kupitia hizi auditions?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom