Bifu za wanawake huku Sumbawanga.

Wapi hapo best yangu BUZOGWE au MAKANYAGIO?? Ki ukweli mazingira ya Sumbawanga ni magumu mno, hasa wilaya ya MPANDA, nashukuru mwenyezi mungu kwa pumzi hii vinginevyo bila yeye ningekuwa jehanamu!

Rudia somo la Jiografia. SUMBAWANGA na MPANDA ni wilaya ndani ya Mkoa wa RUKWA.Ye kasema Sumbawanga.Hizo mambo za Makanyagio,Buzogwe zimeanzaje?
 
Mwalindaulii!? Hakuna cha KANTA, CHANJI, IZIA, BANGWE, EDENI, MALANGALI, MAFULALA wala JANGWANI. Huko ni UPOROTOOO MBEYA. Mbona ile kesi naiendesha mwenyeweee!!?
 
Wapi hapo best yangu BUZOGWE au MAKANYAGIO?? Ki ukweli mazingira ya Sumbawanga ni magumu mno, hasa wilaya ya MPANDA, nashukuru mwenyezi mungu kwa pumzi hii vinginevyo bila yeye ningekuwa jehanamu!
Hiyo ilikuwa lini dada?? Siku hizi kupo safi na sio jehanamu ya duniani.
 
Mwalindaulii!? Hakuna cha KANTA, CHANJI, IZIA, BANGWE, EDENI, MALANGALI, MAFULALA wala JANGWANI. Huko ni UPOROTOOO MBEYA. Mbona ile kesi naiendesha mwenyeweee!!?
Taitu kalesa, waambie hao wamezidi wakati huku mambo hayo hakuna kabisa!
 
Back
Top Bottom