Bifu za wanawake huku Sumbawanga.

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Wake wawili wanao mgombania mwanaume mmoja wameanzisha vita ya uchawi ili mradi kukomoana tu.
Juzi mke mkubwa alimlaza mke mdogo juu ya mbuyu kimazingara kisa kamzuia mume kurudi kwa mke mkubwa kwa siku mbili mfululizo. Sasa jana ilikuwa kali,bi mkubwa akiwa bafuni akioga hana hli wala lile ni baada ya shughuli ya usiku mzima na mumewe,anashtuka amesimama njia panda mchana kweupee watu wakiwa wamemzingira kumshangaa kitendo cha mwanamke huyo kuoga njia panda.Bahati akina mama wachache walijitolea kumsitiri.Sasa leo wameamua kutwangana live baada ya kuona uchawi autoi suluhisho,sasa kibaya kilicho watokea ni talaka zilizotolewa na mume wao na kuwatimulia mbali,mie nimewaacha wakimlilia mume wao awasamehe sijui watasamehewa au ndo kimmoja.
 
Wapi hapo best yangu BUZOGWE au MAKANYAGIO?? Ki ukweli mazingira ya Sumbawanga ni magumu mno, hasa wilaya ya MPANDA, nashukuru mwenyezi mungu kwa pumzi hii vinginevyo bila yeye ningekuwa jehanamu!
 
looh!!
 
Hapo itakluwa ni KANTALAMBA
 
Wake wawili wanao mgombania mwanaume mmoja wameanzisha vita ya uchawi ili mradi kukomoana tu.
Juzi mke mkubwa alimlaza mke mdogo juu ya mbuyu kimazingara kisa kamzuia mume kurudi kwa mke mkubwa kwa siku mbili mfululizo. Sasa jana ilikuwa kali,bi mkubwa akiwa bafuni akioga hana hli wala lile ni baada ya shughuli ya usiku mzima na mumewe,anashtuka amesimama njia panda mchana kweupee watu wakiwa wamemzingira kumshangaa kitendo cha mwanamke huyo kuoga njia panda.Bahati akina mama wachache walijitolea kumsitiri.Sasa leo wameamua kutwangana live baada ya kuona uchawi autoi suluhisho,sasa kibaya kilicho watokea ni talaka zilizotolewa na mume wao na kuwatimulia mbali,mie nimewaacha wakimlilia mume wao awasamehe sijui watasamehewa au ndo kimmoja.

Acha kudanganya watu kwenye JF,Swanga hakuna hizo mambo,ukiendelea nitakasirika na kisha hapo inkuvine ichifumfumi.
 
Back
Top Bottom