Bifu ya Fid Q na Joh Makini

joh makini anayeenda starlet aliyepanga geto moja changanyikeni ama kuna mwingne

Na yule mdogo wake Nikki wa pili anatumia passo,yaani huwa siamini ka hata mimi pamoja na kuungaunga kwangu nimenunua IST while am at 23 on my own na nimepanga a decent place at sinza(ofcoz mitaa anaposhindaga huyu nikki) while hata jirani yangu aliyepanga or anaeishi nyumba ya pili toka kwangu hanifahamu at all.
Guys huu umaarufu bongo una maana gani kama haukulipi? Yani pamoja na jina kuubwa,mashauzi na kujikuta classy hawa wasanii wanakua bado na maisha ya kuungaunga or ya chini kama haya?na wengi wako kwenye 30's wanakimbilia 40's.hii inatufundisha nini sisi na wadogo zetu ambao wanawaona hawa public figures kama role models wao?

Yani msanii mkubwa na anaeonekana financially strong kama joh makini kuendesha a classy n sport car-like,2 seat-BMW hadi akagongee kwa wakili msomi alberto msando?
 
" ni muda ndo utakao waambia
na ukweli ndo utakaobaakia
fisi wote wataufyata mkia
WAONGO WAME DIS APIA ..."

OOOIII
 
Na yule mdogo wake Nikki wa pili anatumia passo,yaani huwa siamini ka hata mimi pamoja na kuungaunga kwangu nimenunua IST while am at 23 on my own na nimepanga a decent place at sinza(ofcoz mitaa anaposhindaga huyu nikki) while hata jirani yangu aliyepanga or anaeishi nyumba ya pili toka kwangu hanifahamu at all.
Guys huu umaarufu bongo una maana gani kama haukulipi? Yani pamoja na jina kuubwa,mashauzi na kujikuta classy hawa wasanii wanakua bado na maisha ya kuungaunga or ya chini kama haya?na wengi wako kwenye 30's wanakimbilia 40's.hii inatufundisha nini sisi na wadogo zetu ambao wanawaona hawa public figures kama role models wao?

Yani msanii mkubwa na anaeonekana financially strong kama joh makini kuendesha a classy n sport car-like,2 seat-BMW hadi akagongee kwa wakili msomi alberto msando?
WTF
............... thats private life.
 
Joh na Nikki Arusha wanaviwanja utitiri wamemnunulia pia baba yao kuna nyumba wamejenga pia Arusha.
Hawa jamaa wametokea maisha ya chini sana wamefight mpaka wamefika hapo.
Joh pia anakiwanja kigamboni sio kiwanja ni shamba maana ni kubwa sana the thing ni hua hawapendi kuongelea maisha yao kwenye media tofauti na wasanii wengne ambao wakijenga wakinunua gari lazima wapost IG watu wajue"
Nikki amesoma Masters UD nadhani unajua gharama za mtu kujisomesha Masters angenunua hicho ki IST chako fasta. Now anachukua Phd unadhani atakua the same hapo badae ukijumuisha na Mziki anaoufanya?

Joh ndio msanii wa HipHop anayepiga sana shows kuanzia 2011 hadi leo je hizo hela unafikiri hawekezi au mpaka atangaze kwenye media. Tusikariri.
 
WTF
............... thats private life.

Ni kweli ni private life but as long as yule ni msanii na ni kioo cha jamii,lazima at some points yatavuta attention ya watu kwa interest ya mashabiki na more important wale wanaokuchukulia kama their role model
Lakini pia ni kawaida kumsikia rapper kama joh akiimba about fancy life,hit song zake kadhaa ni za kuparty like nusu nusu,he usually talk about expensive drinks,places za maana ka Ibiza etc,do u expect watu waifanye personal life yako that private? As long as umechagua career inayovuta attention then utaipata ya kutosha,Ofcoz tunajua ni sanaa but tunategemea unachokihubiri somehow kireflect na your real life,,sio unachokiongea na uhalisia viwe kama mbingu na ardhi.

Unachokisema ni sawa na kusema personal life ya public figure kama viongozi wa serikali isiingiliwe,,hata uwe na mihela kuliko kipato chako kama lowassa watu wakuache eti ni personal life,au mchungaji uwe na kashfa za kutembea na wake za watu na uasherati at large alafu useme hiyo ni private life ya mchungaji isihojiwe,,is it possible?
 
Msome Bburner hapo juu.
 
Joh na Nikki Arusha wanaviwanja utitiri wamemnunulia pia baba yao kuna nyumba wamejenga pia Arusha.
Hawa jamaa wametokea maisha ya chini sana wamefight mpaka wamefika hapo.
Joh pia anakiwanja kigamboni sio kiwanja ni shamba maana ni kubwa sana the thing ni hua hawapendi kuongelea maisha yao kwenye media tofauti na wasanii wengne ambao wakijenga wakinunua gari lazima wapost IG watu wajue"
Nikki amesoma Masters UD nadhani unajua gharama za mtu kujisomesha Masters angenunua hicho ki IST chako fasta. Now anachukua Phd unadhani atakua the same hapo badae ukijumuisha na Mziki anaoufanya?

Joh ndio msanii wa HipHop anayepiga sana shows kuanzia 2011 hadi leo je hizo hela unafikiri hawekezi au mpaka atangaze kwenye media. Tusikariri.

Mafanikio hayajifichi mkuu acha kutengeneza maneno ili kumfichia aibu rapa wenu nyie ndio mlikuwa mnasema tajiri.. Kumbe utajiri ni kuwa na masters, kubalini ukweli rapa wenu hana chochote special kumshinda Fid.

Tuendelee kushindanisha muziki wao huko kwingine mtaumbuka tu kama hivi.
 
Haya ndo Yale ya kumshindanisha Kiba na diamond ili kumvuta juu mmoja aliyepotea.
In short Fid q, joh, lord eyes, mapacha , nuruel, rama d nk wametoka dojo moja Pale Kwa Roy wameshinda hapo G record kupambana kila mmoja atoe ngoma Kali ya kumuweka juu na kila mmoja akapambana kivake, Joh a.k.a Rapture akatusua akafika hapa alipofika na Fid akafika hapa alipofika.
 
Mafanikio hayajifichi mkuu acha kutengeneza maneno ili kumfichia aibu rapa wenu nyie ndio mlikuwa mnasema tajiri.. Kumbe utajiri ni kuwa na masters, kubalini ukweli rapa wenu hana chochote special kumshinda Fid.

Tuendelee kushindanisha muziki wao huko kwingine mtaumbuka tu kama hivi.
Mkuu kwani kuna mtu kazungumzia utajiri hapa" kuzungumzia utajiri wa Fid au Joh ni upunguani maana wote hawana utajiri wanamaisha flani tu.
Nachozungumzia mm mtu kutumia gari aina flan ni choice ya mtu haimaanishi financialy yuko vp. Kuna wahindi nakaanao mtaani anagari ya m200 lkn anakaa NHC vyumba viwili familia ya watu 7 na wakitoka nje wanaonekana mawanamaisha mazuri kutokana na gari zao.
Joh hapendi kuongelea lifestyle yake kafanya nn kawekeza wapi sijawah kumsikia hata siku moja ila tunaoMjua vzr tunajua anafanya nn.
 
Mafanikio hayajifichi mkuu acha kutengeneza maneno ili kumfichia aibu rapa wenu nyie ndio mlikuwa mnasema tajiri.. Kumbe utajiri ni kuwa na masters, kubalini ukweli rapa wenu hana chochote special kumshinda Fid.

Tuendelee kushindanisha muziki wao huko kwingine mtaumbuka tu kama hivi.
Haihitaji degree kujua kuwa Joh anazitengeneza nyingi na ana mafanikio makubwa kuliko Fid q.
Nilifurahi nilipomuona fid kwenye coke studio msimu huu walau na yeye ajipatie pesa coz hana show nyingi kivile.
 
Joh ana show nyingi kushinda AY na FA... Nani ana mafanikio makubwa kati yao?

Unaweza usiwe na show nyingi kivile ila ukawa vizuri zaidi ya mwenye shows inategemea mipango yako.
 
Joh hapendi kuongelea lifestyle yake kafanya nn kawekeza wapi sijawah kumsikia hata siku moja ila tunaoMjua vzr tunajua anafanya nn.

Joh hapendi ila pitia post za umu vigezo walivyo tumia kumshindanisha na Fid almost kila mtu kakubali joh kimuziki amwezi fid ila wakaanza kumpa joh utajiri na mafanikio asiyokuwa nayo.
 
Hamuwezi kivipi" wakashaweka sana battle kushindanishwa kwenye radio/socia media Joh anaibuka mshindi.
Currently Joh Yuko juu ya fid we mwenyewe unajua sa sijuo unataka nn
 
Joh na Nikki Arusha wanaviwanja utitiri wamemnunulia pia baba yao kuna nyumba wamejenga pia Arusha.
Hawa jamaa wametokea maisha ya chini sana wamefight mpaka wamefika hapo.
Joh pia anakiwanja kigamboni sio kiwanja ni shamba maana ni kubwa sana the thing ni hua hawapendi kuongelea maisha yao kwenye media tofauti na wasanii wengne ambao wakijenga wakinunua gari lazima wapost IG watu wajue"
Nikki amesoma Masters UD nadhani unajua gharama za mtu kujisomesha Masters angenunua hicho ki IST chako fasta. Now anachukua Phd unadhani atakua the same hapo badae ukijumuisha na Mziki anaoufanya?

Joh ndio msanii wa HipHop anayepiga sana shows kuanzia 2011 hadi leo je hizo hela unafikiri hawekezi au mpaka atangaze kwenye media. Tusikariri.
wewe ni ndugu yake ama meneja wake
 
I have to admit kua mziki wa joh makini una ladha flani amazing sana yani, na huwa siachi kumskiliza pale nnapohitaji kuskia flow zenye ladha na tamu maskioni mwangu. Ila linapokuaja suala la mashairi fid Q hafananishwi maana yuko level ya juu mno, na huwa siachi kurudia ngoma zake pindi nnapotaka kuskiliza mashairi mazuri.
Kwa mimi mziki wa joh makini ni chakula na kiburudisho cha maskio yangu, ila mziki na mashairi ya Fid Q ni chakula cha ubongo wangu na akili yangu
Umeongea point mkuu nimekuelewa sana
 
Its all about flexibility, Joh na kundi zima la weusi wana mission ya KUTENGENEZA PESA, sasa Fid aendelee kuwa MGUMU till DAWN. na kama Fid Q ni role model wako ujue you are the last of your kind. Muziki wa aina hiyo haulipagi tena... unless unatuna na kusikiliza mwenyewe getto.;);););)
 
Back
Top Bottom