Bifu la Lady jay Dee na clouds media linazidi

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Leo hii katika mtandao wa bbm, lady jay dee ameandika status 'Mungu sio Ruge wala Kusaga. No surrender. Confidence' inaonekana bifu lao linazidi kuchukua nafasi. Na binti machozi anaonekana kurusha makombora zaidi kuliko clouds ambao wanaonekana wako kimya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!

#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.

SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?
 
Baada ya kipindi kirefu cha kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake wa Joto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kufunguka kwa kuwachana live wamiliki wa redio hiyo.
Hii ni post yake aliyoipost twitter:

Lady JayDee ‏@JideJaydee 1h

Naamini kabisa kuwa Mungu sio Ruge wala Kusaga. Atanisimamia kwenye hili #Confidence
 
Kuna anayeamini kuwa Ruge na Kusaga ni mungu?

Halafu bifu yake dhidi ya hiyo redio ni nini haswa?
 
Jay dee kafulia nyimbo zake za sasa bora zikatumike shambani kufukuzia nzige tu
 
Sina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!

#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.

SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?

Jide alishasema kwamba kipindi cha nyuma alikuwa na mengi lakin uhalisia ulikuwa unambana..sababu alikuwa hawez kufungua mdomo coz hakuwa na mkwanja na hadhi aliyonayo..sasa hivi ana uwezo hata wa kufungua redio yake kwann aendelee kuwa kondoo?go bint machozi..a.k.a commando Jide,a.k.a Jesh la mwanamke mmoja.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kaaaaazi kweli kweli......for the interest ya tasnia ya muziki reconciliation ni muhimu.....the weak never forgives the strong always do ( mahatma ghandi-RIP).....jide,ruge,joe kaeni chini muyamalize,hakuna kisichoongeleka,you three fellows mmetoka mbali kumbukeni zama za kitega uchumi jide mtangazaji na redio ndo inaanza.....kisha wimbo wa 'machozi....nimekaa nafikiri,badae nikakumbuka,kuwa hutorudi,kumbuka nilikupenda'
 
Tatizo ni nini?kaibiwa?kadhulumiwa?kadhalilishwa au nini kafanyiwa?Naona wengine wanasema THT wanadhulumiwa,mbona wao hawalalamiki?Au ni vibaya kumpa ng'ombe nyasi alafu ukamkamua maziwa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!

#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.

SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?

thibitisha hapa kama ant virus imefail
 
Jide alishasema kwamba kipindi cha nyuma alikuwa na mengi lakin uhalisia ulikuwa unambana..sababu alikuwa hawez kufungua mdomo coz hakuwa na mkwanja na hadhi aliyonayo..sasa hivi ana uwezo hata wa kufungua redio yake kwann aendelee kuwa kondoo?go bint machozi..a.k.a commando Jide,a.k.a Jesh la mwanamke mmoja.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Oooh kumbe, basi hawataweza kuwaiangusha Clouds kwakuwa kama mtu anaona maovu then anasikilizia kwanza apate ela kuptia hao hao clouds ndo aje kukemea.
Basi na wasanii wengine kama akina Ben Paul asiwalalamikie wasipomsupport kwani nao wanasubiri wapate ela kama yeye alivyosubiri
 
Back
Top Bottom