Bidhaa za Apple na Virus

JimCarrey

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
214
124
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????
 
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi
 
Bidhaa za aple hazipati viruses kabisa, tatizo unalo liexperience halihusiani na viruses but ni kutokana na formating structure ya device unayo tumia hizo flash zote unazotimiwa ziliformatiwa kwenye windows os ambazo format zake ni ntfs na fat32 ambazo haziingiliani na Mac Os
Chakufanya ni format hizo devices kwenye macbook yake then ukopi muvi upya kupitia computer nyingine zitafanya kazi bila shida yoyote
 
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????
Bidhaa za Apple zina Antivirus programme zake kanunue
 
Mkuu ebu angalia format ya hizo flash zako unazotumia. Inawezekana ziko formated to ntfs, kama unavyojua mac haitambui format system ya ntfs inatambua fat32.. Kitu kikiwa ntfs inaweza soma data zilizomo lakini haiwezi ku write data kwenye device yenye format hiyo.
 
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi

Kaka macbook nahizo window xp ni wapi na wapi?
 
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi

Vipi Linux?
 
Mkuu unaonekana upo mbali na ulimwengu wa matufaha(apple)
 
mimi pia naungana na jamaa hapo juu os inaweza kuwa haingii virusi kama yenyewe lakini vipo vitu kama java, flash nk hivi vinapitisha virusi kama kawaida. hivi juzi juzi wakati java ilivyokuwa exploited hata mac ziliathirika.

mfano mzuri angalia huyu trojan wa mac
Trojan BackDoor.Flashback - Wikipedia, the free encyclopedia
Asante kwa kumjibu jamaa hapo juu aliyeniona sijui.kumbe yeye ndiyo kapitwa na wakati.

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu lakini jamaa anasema anatumia macbook, which means atakuwa ana tub mac os, na sio windows unless kama anatumia bootload kaweka windows pembeni jambo ambalo sidhani.
Aliyekujibu alikuwa anaongelea kuhusu wewe kusema kama ina xp hiyo macbook
 
Ulisema haingii virusi la macbook hilo nilipitiwa ila hakuna tablet computer za apple zisizopokea virusi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Ulisema haingii virusi la macbook hilo nilipitiwa ila hakuna tablet computer za apple zisizopokea virusi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app

Sikusema mimi kuwa haingii virus, malware wapo kwenye apple devices ila ni at a very low scale na jinsi os yenyewr ilivyotengenezwa pia sio rahisi kushambuliwa.
Nadhan jamaa format ya flash disk zake ndio tatizo.
 
Hatubishani ila naomba utofautishe uhalisia na tangazo la biashara labda wawe wanatengeneza virusi kuikinga biashara yao in sawa na lile tangazo la sementi ya nyati eti vuja kabisa na mabomu na forge utafikiri ni kweli

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ebu angalia format ya hizo flash zako unazotumia. Inawezekana ziko formated to ntfs, kama unavyojua mac haitambui format system ya ntfs inatambua fat32.. Kitu kikiwa ntfs inaweza soma data zilizomo lakini haiwezi ku write data kwenye device yenye format hiyo.

Asante kaka na je, inaezekana kubadilisha format ya flash au mpaka nitafute hio flash yenye fat32...?????? Na je nikiipata naeza kuitumia kwa PC ingine ambayo sio Mac....????
 
Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????

Ahahhahaha kafute kwenye recycle mkuu acha kumwaibisha marehem Steve J ukiwa unafuta kwenye flash ukimalza nenda kwenye recycle napo futa then weka porno zako kwa flash au hzo movies zako Mkuu
 
Thanks kaka nitajaribu.... So nitakua wrong kuhusiana na virus sio...???
 
Achana na hao wanazd kumwaibisha marehemu mambo ya window waachie hao watoto Tunda la apple Halina virusi na Kama vpo kila unapokuwa na uwezo wa net/wireless kuna pro znaondoa ww iyo USB yako ukimalza futa nenda na recycle futa then weka porno zako narudia tena hakuna virus
Karbu kwenye ulimwengu wa Tunda Mkuu
 
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi
Wow! Window XP kwenye mac?U kiddin right!
 
Back
Top Bottom