Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,569
Source: BBC Idhaa ya Kiswahili matangazo ya saa 12.30 jioni
Polisi inawashikilia watu wanne (4) - watu wawili raia wa Pakistani na wengine wawili raia wa Tanzania kwa kukamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Dola za kimarekani 2,000,000.
Kama madawa ya kulevya yameharamishwa bei ya soko inapatikanaje?. Mbona Polisi wakikamata gongo huwa hawasemi thamani yake? Wenye habari naomba tuu mnijuze namna bei inavyopatikana kwa dawa za kulevya au ni haramu kwa baadhi ya nchi tuu?