Bidhaa hizi bado zinapatikana Tanzania?

Duh! Haya mafuta yalikuwa kwenye mkebe fulani hivi
Wakati nasoma kulikuwa naviatu fulani hivi visigino virefu vipana, vyaitwa Mwaka wa watoto
Chachacha, wakati wa jua kali chamoto unakiona
Enzi hizo no salon, wakati wa sikukuu nywele zinazomwa kwa kutumia kigae
Hivi zazuu iliishia wapi? Jamani tunatoka mbali


Nimekumbuka Zazuu kuna sister yangu alikuwa anapenda sana. wasichana walikuwa wachoma nywele jamani enzi za zamani ilikuwa hakuna mambo ya relaxer sijui na vitu gani vingine vile
 
Back
Top Bottom