Bidhaa hizi bado zinapatikana Tanzania?

halafu vyote vilikuwa na ubora hakuna kuchakachuka siku hizi wamemruhusu mchina ambaya amejua kutuchakachua kiwelikweli.
 
Vile vile kulikuwa na bidhaa zingine ingawa zilikuwa zinatoka Kenya, zilikuwa popular Tanzania. Hizo ni kama anti perspirant ya 'Odorono' na mafuta ya Lady Gay. Bidhaa zingine za Tanzania ambazo zilikuwa zinapatikana kwa wingi zilikuwa nyama ya kusaga kwenye makopo, 'Beef', na maziwa ya packet ya Ubungo.
 
Hivi Dingris ndiyo Jeans eeh?...Nakumbuka enzi kijana akivaa dingris anaonekana mhuni!
 
Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?

Tanbond margarine
Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
Dawa ya meno ya White Dent
Baiskeli aina ya Swala
Majembe na mapanga ya UFI...

...na vinginevyo.
Code:

chachacha za bora, madaftari ya elimu supplies.......
 
Mi nazikumbuka radio za philips tu. Sijawahi tena kuona kifaa cha elektroniki kimeandikwa Made in Tanzania.
 
Nimepita duka moja hapa Kibamba nimekumbana na mafuta ya supa ghee na tanbond,imebidi niyabebe wakuu,ngoja nikajaribu nione ubora wake kwa sasa,muuzaji ananiambia hata tan bond wanakuaga nazo
 
peugeot-403_1024.jpg

PJ umenikumbusha 1970 kukilikuwa na mdosi mmoja korogwe alikuwa dealer wa magari alileta hiyo kitu akawa anambembeleza dingi achukue basi ikawa tunapakiwa familly yote kutembezwa na huyo mdosi ili mother ambembelezee kwa baba. !
 
Duh! Haya mafuta yalikuwa kwenye mkebe fulani hivi
Wakati nasoma kulikuwa naviatu fulani hivi visigino virefu vipana, vyaitwa Mwaka wa watoto
Chachacha, wakati wa jua kali chamoto unakiona
Enzi hizo no salon, wakati wa sikukuu nywele zinazomwa kwa kutumia kigae
Hivi zazuu iliishia wapi? Jamani tunatoka mbali
Nimeikumbuka Mafuta ya Shanti na Yolanda kweli leo
 
Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?

Tanbond margarine
Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
Dawa ya meno ya White Dent
Baiskeli aina ya Swala
Majembe na mapanga ya UFI...

...na vinginevyo.

Mara Ghee
OKAY
kanga za MUTEX,Jinja ya KILTEX
 
Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?

Tanbond margarine
Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
Dawa ya meno ya White Dent
Baiskeli aina ya Swala
Majembe na mapanga ya UFI...

...na vinginevyo.

Mara Ghee
OKAY
kanga za MUTEX,Jinja ya KILTEX
 
Viatu vya bora na chachacha

Tulikuwa hatuna haja ya kujua size, unachotakiwa ni kuchagua aina ya kiatu unapima kwenye kipimo chenye kuonyesha size then unaletewa. Wakati huo umekaa kwenye kiti. Takataka enzi hizo zinazolewa na kuka kila nyumba ina pipa la taka. Ee Mungu Tanzania tunatoka kwenye maendeleo tunarudi ujimani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom