Bidhaa feki jamani!!! Za kichina

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Wapendwa kuna dada mmoja alikuwa sister du mtaani
akamkamata mchina mmoja wamefanikiwa kupata mttoto wa kike
kwa bahati mbaya ma juzi mtoto alifariki dunia kwa kweli ni huzuni kubwa

matokeo yake wamekuja ndugu zake mwanamke toka mbeya wanaanza kusema
ovyo mara ooh mi nilijua tu hizi bidhaa za kichina feki tupu akuna original
mi kama mi sitozaa na mchina hata kidogo achelewi kunizalisha ""DOGOLI""bila kujua

Jamani mbona mali zao mnazipenda mnazitumia ikitokea matataizo mnaanza kuwaka feki feki si ubiandamu nao ni watu kama sie jamani......kama wanatuleteea bidhaa feki sidhan mpaka
kwenye sperms wanatuletea feki haya yetu macho

Polen wafiwa
 
Wakwe wenyewe wa wapi? Kyera?!.........Mimi sisemi....!!!! Tena simo:becky::becky::becky:
 
Duuh.. ama kweli duniani kuna majimamboz!! Yaani hata watoto siku hizi wanaweza kuwa feki?! Inasikitisha.:confused2:
 
Wakati huyo dada anawapelekea zawadi alizonunua kwa pesa ya mchina mbona hawakusema kuwa ni za kichina? Mpeni pole huyo dada!
 
Back
Top Bottom