Bibi Titi Mohammed, mwanamke aliyeitikisa Tanzania na Dunia

Naitafuta nitaweka.
Acha nikusaidie...
upload_2016-10-17_15-30-25.jpeg
upload_2016-10-17_15-30-38.jpeg
images
images

Ngongo Aisaee subiri wajuu zake huyu marhm. wajee kutikisa tena Tanzania....
 
Hicho kibibi cha kariakoo kinwaweza kutikisa labda Tandamti lakini si Dar wala Tanganyika.
Mkuu miaka ya 1960's na 1970's mwanamke wa Afrika kushiriki mapinduzi haikuwa kazi ndogo.
 
Kamati ndogo ya MACHAPISHO YA HISTORIA iundwe na mwenyekiti awe Prof. Kimambo historia ya nchi iandikwe upya waliosahaulika wajumuishwe wote.
 
Back
Top Bottom