bibi na usafiri mbagala!!!!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
[h=6]Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la mbagala kama kawaida yao,

bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti. Baada ya muda konda akamuuliza "bibi

unalia nini sasa?" Bibi akajibu "miaka yote 25 nliyoishi Mbagala sijawahi pata siti"
...

konda akanena "bibi pisha siti hapo umekaa ya dereva."[/h]
 
Back
Top Bottom