Bibi kikongwe miaka 97 achambua elimu nchini

MALOLO

Member
Oct 24, 2012
15
2
Bibi mkazi wa Tunduma ambaye hajawahi soma hata darasa la kwanza,akiwa na wajukuu alisema waafrika wataendelea kupungua miaka ijayo kwa kukosa maada za sayansi ya ugunduzi kwenye mifumo ya elimu wanaofundisha.Elimu haiwezi kutoa majawabu kwa mabadiliko ya mazingira.Watanzania kwa elim wanaoipata natural resources walizopewa na Mungu hawawezi kuzitumia moja kwa moja.hivyo akadai maisha ya watanzania yatategemea wazungu ikiwa ni pamoja na vyakula,tiba na hivyo wanawezakuwadhibiti msiongezeke kwa sababu mnawategemea kwenye elimu.Bibi alisema tunaweza tukijipanga na sikupangiwa.Mwishon bibi akasema tuige lakini siyo tubebe vyao na pengine tuboreshe siasa zetu
 
Back
Top Bottom