Bibi kama huyu anaweza kuipigia CHADEMA kura, kama asipoelimishwa vyakutosha?

Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.


View attachment 38264

Hakuna Elimu ya uraia inayofundisha kuipigia kura chadema, isipokuwa sera mzuri na kampeni zenye kuleta matumaini ndizo zitampelekea kuchagua chama atachokiona kinafaa.
 
Msipende kusemea matendo,mawazo, nguvu, na ufahamu wa umri ambao haujafika. Wenye umri huo wanaweza kusema wenyewe siyo nyie kuwasemea kwa kuwaona.
 
Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.
Ukiona chama ambacho mtaji wake wa kura ni vikongwe, ujue na uhai wake uko mashakani. Miaka 4 au 5 ijayo huo mtaji utakuwa umejifia wenyewe na hapo ndipo kilio na kusaga meno kitakapowakuta.
 
Kwa nini asichague cdm wakati anakunywa uji wa bila sukari.khanga aliyo vaa ni fekiakifua siku 2 inapauka,mafuta ya taa yamechanganywa na maji,anayajua hayo
 
Back
Top Bottom