Bibi harusi havai nguo za ndani

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228

MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi mtarajiwa,yeye huwa havai nguo za ndani,watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi,akasema narudia tena na sijakosea,yeye huwa havai kbs nguo za ndani,yani nguo zake ni za kutoka Italy,England na Marekani,hebu mshangilieni,kila mtu Ahaaaa.
 
u

Nguo kutoka Italy siyi nguo kwani?
 
chombeza zingine hazifai kwa shughuli kama hiyo, atakuwa alimuudhi sana bwana harusi;
 
Hiyo haijakaa vizuri, inabidi mkimchukuwa MC kama huyo mumpe onyo mapema
 
Back
Top Bottom