Bibi Harusi Bikra na Mfungwa Gerezani!!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?
“Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.
Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.

Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; “honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI” Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!" Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema “Honey MFUNGWA ametoroka tena” jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.
Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"

Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali "Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"
 
Huyo alitengeneza bikra,kwa wengi ambao nimewapitia hakuna hata mmoja ambaye aliyetaka kuendelea na gemu baada ya kuchana nyavu
 
Back
Top Bottom