Biashara yaa fine beans Ulaya

mor112

Member
Mar 6, 2010
16
0
Naomba kuuliza ushauri, nafikiria kuanza biashara yaa fine beans kwa kuu export to London Uk, nimeshapataa wateja wanaotaka kununua hizi fine beans, Kitu muhimu ni lazima good quality,
Naombeni ushauri wowote jinsi yaa kupata good reliable suppliers in Tanzania.


Thanks in advance
 
Back
Top Bottom