C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Wakuu habari yenu mimi nina swali moja:
Kuna jamaa zangu wawili ma brothers wana mpango wa kuanzisha biashara ya website design, web development, SEO Marketing, E-commerce Solution kwa Africa kwa nchi kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, South Africa
Wanataka waiite hiyo kampuni yao kwa jina la Cool studios Web Tech.
Jamaa ana mtaji wa $ 5,000. Hiyo ni kwa ajili ya kununua simple office furnitures, na equipments mbali mbali office mzee wao kawapa so hiyo haina shida.
Wamefanya utafiti wakagundua kuwa wana washindani wakubwa tu so wao wamejipanga kwa ajili ya kuja na fresh designs kwa kuwa ndio wanataka kuanza sasa walikuwa wanaomba ushauri kwa great thinkers kwa vitu vifuatavyo:
- Jinsi ya ku-penetrate soko
- Vikwazo watakavyokumbana navyo
- Watumie style ipi ya marketing?
- Watumie style ipi ya sales?
- Watumie style ipi ya promotion?
Wamepanga kufanya hivi kwa small business firms ili wawasaidie kukuza biashara zao + large business firms ili waendeleze kukuza biashara zao je hili ni sawa??
So walikuwa wanaomba ushauri kuhusu hayo yaliyotajwa juu na general ideas kuhusu hiyo biashara wanayotaka kuanzisha