biashara ya vitunguu.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza vitunguu kwa jumla DAR AU MORO naomba aniPM tutete jambo.
thank you.
 
Nasikia vitunguu vina soko la kufa mtu Nairobi - is this you want to share with us Cheusi? kuna jamaa yangu alishanipa order nikusanye nipeleke lakini sijapata muda wa kufanya hivyo.

Lakini si aina zote za vitunguu lazima kufanya utafiti kwanza kabla ya kuchangamkia tenda.
 
ni kweli kenya ni soko zuri la vitunguu ila sio hilo nililokuwa nahitaji kuliongelea.
 
Inaoneka wafanya biashara wazuri wengi hawapati information wanazohitaji kufanya uamuzi. Kwa sababu hii, naomba mchango wa mawazo tutafute ufumbuzi. Kupata habari kuhusu soko, ni muhimu ili mjasirimali awe na kanguvu wakati kupatana bei. Na wakina mama wenye kulima kashamba kavitunguu, wanaweza kuuza bei nzuri kwa bidhaa zao, badala ya kuranguza kwa bei ya chini sana baada kuvuja jasho.
 
Habari wadau.
Mimi nipo wilaya ya ludewa nata kulima kitunguu saumu ila sijajuwa ni mbegu ipi ilokuwa bora
 
Back
Top Bottom