Biashara ya vitambaa on credit

noella

Senior Member
Mar 21, 2011
101
46
Wadau habari zenu wote.

Natafuta kampuni/individual nayoweza kufanya nayo biashara on credit.

Mimi ni mfanya biashara chipukizi,nahitaji kampuni itakayoweza kuniuzia 100% soft cotton kwa majora on credit malipo ni baada ya siku 30 baada ya kupokea tax invoice. kwa anayeweza tafadhali nipe contacts zako kwa mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom