Biashara ya viatu vya kisasa vya kike , kiume na watoto

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
hello wananijamii habari zenu,okay miminimjasiliamali mdogo(nimejiajri)sasa nilikuwa naomba advice ama mawazo ni kwamba ninao mradi ama biashara ya kutengeneza viatu vya kisasa kabisa vya kiume na vya kike na vya watoto washule,ndio nimeanza na soko hapa dar es salaam nimeona inaweza kuuza ila soko ambalo nimelenga kabisa ni nje ya dar kwa maana ya mikoani,sasa kwa mwanajamii yeyote ambaye wanafahamu kuhusu hii biashara ama masoko yake yakonje na udhaifu ama ubora wake tafadhari anijulishe nawasilisha.
 
Mimi nina Maduka yako Mtwara (1) Mtwara mjini na (2) Tandahimba kama vipi kwa kuwa ni biashara mpya unaweza kunipa pea za sample siyo nyingi kama 50 tu tukajaribia na kwa kipindi hiki cha mavuno ya korosho biashara inaweza kuwa mzuri kama viko bomba. Just ni-Pm au tuma sms +32 488 152 485.
 
Back
Top Bottom