Biashara ya uwakala wa bima

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Ninaishi katika mji mdogo usio na ofisi ya bima. Kutokana na ongezeko la pikipiki za mchina ninatamani kuwa wakala wa bima kwani madereva wanaendesha mwendo mrefu kutafuta huduma hiyo ili wasikwaruzane na polisi. Je, inahitajika taaluma ya juu kuwa wakala wa bima? Na ni yepi majukumu ya wakala pale pikipiki au gari inapopaswa kulipiwa baada ya ajali au upotevu?

Nisaidieni mawazo jamani na mimi nitajirike......
 
Back
Top Bottom