C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa serious sasa kwa kuwa hapa naamini ni home oof great thinkers nikaona nifikishe proposal hapa tuone kama kuna uwezekano wa mm kuanzisha na jinsi biashara inavyolipa, cost zake, budget yake ya biashara n.k..