Biashara ya poles

len

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
201
116
Wana JF naomba wenye uzoefu na biashara ya poles kutoka Iringa wanijuze. Napenda hasa kujua soko lake hapa Dar likoje na kama kuna iwezekano wa kuuza mzigo kwa jumla. Ni maeneo yapi yanafaa kwa biashara hiyo, gharama za kukodi eneo, bei za jumla na rejareja. Kuna mtu kutoka Iringa anahitaji kuleta poles za 4 inchis lakini hana soko la uhakika. Asanteni kwa michango yenu
 
Mwenge kuna soko kubwa la Poles,nenda pale Efatha ministries,kwa mbele kuna yard kubwa sana ya hii biashara
 
  • Thanks
Reactions: len

Similar Discussions

Back
Top Bottom