Biashara ya Pharmacy na Challenge zake

Nesindiso Sir

JF-Expert Member
Oct 31, 2007
379
21
Jamani nimetumbukiza mguu kwenye hii biashara ya Pharmacy. Nimeanza kuonja joto ya jiwe, hasa kwenye upatikanaji wa pharmacists na ushindani wa maduka ya dawa baridi ambayo hayana vibali lakini mengi yanauza dawa aina zote.

Naomba msaada kwa wenye uzoefu, pharmacists, nawapataje na kwa bei gani kwa sasa?
Je, kuna umoja wowote wa wenye biashara za pharmacy?

Na challenge nyinginezo ambazo bado nitaendelea kukumbana nazo naomba mnijuze.
 
Ulitakiwa kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kufungua, faida na hasara ikiwa ni pamoja na hizo changamoto. Pole na jitahidi utafaulu tu sina ninachojua ndugu.
 
kila biashara ina changamoto zake. Kinachotakiwa ni kwamba usiiache bali ujifunze zaidi namna ya kuiboresha. Nikiwa kama mjasiliamali mwenzio naweza kuwa na machache ya kukushauri, nitumie email faoincredible@yahoo.com tuweze badilishana mawazo.
 
Back
Top Bottom