Biashara ya paprika

rollingstone

Member
Apr 1, 2012
29
1
Kwa wasiofahamu, Paprika ni zao kama pili pili isiyokali. Tafadhali kwa walioko Dar, fanyeni mini-survey pale kariakoo kuuliza kwa wahindi na wapemba. Mwaka jana walitafuta sana lakini wakakosa. Kama kuna watu watahitaji, tufanye biashara, kwa kweli zipo za kumwaga kama tani 40 kuanzia August, njoo humu tufanye biashara. Lets be serious
 
Thanx for the info, ngoja tufanye utafiti halafu tutarudi kwako mkuu..
Lakini ni vema ukaweka taarifa za kutosha ili hata sisi amabao hatujui tuwe na uelewa mzuri ili tunapoenda kusurvey tuwe na taarifa nzuri. Pia uweke na bei zako itarahisisha zaidi
Thanks
 
Hauwezi kuokota almas kama hauijui....So hyo paprika sihijui so siwezi jua thamani yake! Weka link tuisome vizuri tujue matumizi yake faida zake je ni tiba mbadara?
 
paprika ndo kitu gani weka wazi ili hata tulienda tuwe na full info tofauti na kuuliza nisichojua,na bei zake zikoje!
 
Back
Top Bottom