biashara ya mtandaoni

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
wadau mambo
nataka kununua bidhaa mbalimbali toka nje kupitia mitandao,lakini nimesikia ipo mitandao ya kitapeli.Naomba mnielekeze mitandao inayoza vitu vipya na used na iwe ni waaminifu.Si vibaya mkanielekeza namna ya kutuma pesa na kupokea mzigo.Asanteni wadau nasubiri toka kwenu
 
Katika kutuma pesa, unahitaji kuwa na credit card au paypal (au payment gateway zingine kama google checkout na 2CO) ila upande wa delivery, nijuavyo wao wenye website ndio watakuambia kama wanaweza ku-deliver nchini mwako! Ila kwa bongo delivery system bado ni famba haijawekezewa fresh... Its one of the major things hindering online business activities in tanzania! Zilizopo zipo ghali mno, mzigo wa laki wanaweza ku-deliver kwa 20,000/= kitu ambacho wabongo wengi hawakubali!

Kuhusu site zilizo trustful, hujawa wazi kua unataka kununua nini!?? Kila product/service unayotaka kununua ina site tofauti... Mfano ukitaka kununua vitabu kuna amazon na wengine, ukitaka kununua electonics there are dozens of sites out there offering price comparison... Wewe tu kua unataka kununu kitu gani haswa!

Peace!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom