Biashara ya mikate

Bhokem

Member
Aug 7, 2009
37
9
Naombeni ushauri.

Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha?
 
Naombeni ushauri.

Nina mtaji wa Tshs 3 million, nahitaji kuwekeza kwenye biashara ya mikate a.k.a bakery, je inatosha?

Kwanza inategemea unataka kutumia tanuri gani
Pili ni sehemu gani ya Tanzania unataka kufanya biashara hiyo.
 
kwa mtaji huo,fanya distribution ya mikate,tafuta supply points,mashule and ofisi.
then nunua na kufanya delivery.
 
kwa mtaji huo ukisema upangishe eneo la bekari, ununue tanuru sidhani kama itatosha bora ufanye supply kidogo kidogo mtaji ukikua unaweza kufanya utakalo
 
Back
Top Bottom