Biashara ya mafuta ya alizeti na products zake

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Habari wakuu,

Kuna rafiki yangu anatafuta soko la mafuta ya alizeti pamoja na soko la mashudu/makapi - hapa anataka kuingia mkataba na viwanda vinavyohitaji mashudu kwa ajili ya kutengeneza vyakula vya mifugo.

Yeyote mwenye nia anipm.

Jioni njema.
 
Unawezamkuchaguamkati ya kuuza kwa wanaokuzunguka ama kutafuta wanaopaki vzuri ukawauzia kwa jumla kwambei ya chinimkidogo ili nao wapate faida
 
Unawezamkuchaguamkati ya kuuza kwa wanaokuzunguka ama kutafuta wanaopaki vzuri ukawauzia kwa jumla kwambei ya chinimkidogo ili nao wapate faida

Ahsante ngoshas, mafuta yanakuwa refined na packed, ni large quantities, mhusika anatafuta soko Dar.
 
Yeyote mwenye mawasiliano ya manager/mfanyakazi wa kiwanda ambacho anafikiri kinahitaji mashudu kwa ajili ya kutengeneza vyakula vya mifugo naomba anipe.

Shukrani.
 
unazo lita ngapi na makapi tani ngapi?

Sio mimi, ila nilivyomwelewa ni kwamba anataka soko la kudumu sio kukuuzia mara moja. Hapa sio swala la kwamba ana tani au dumu ngapi tu, ni lazima pia muelewane bei, ingawa inabadilika kulingana na msimu.
 
Kuna jamaa anaitwa samson kishimba,huwa anatafuta sana mashudu ya alizeti.hata kama una tani 500.anaweza kubeba zote.
Samson 'kishimba'ngwalida wa NYANZA COTTON GINNERY.rockcity.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom