Bei ya Gesi Imepanda Kwa haraka ndani ya wiki mbili na kufikia Shs. Elfu Sabini(70,000) kwa mtungi wa kilo Kumi na tano. Kamtungi ka kilo 6 sasa kanauzwa Tshs: 27,000. Hivi Ewura ni 'sleeping giant' au ? Serikali nayo bado hipo fungate au? Hawa wafanyabiashara wameingia 'ubia' na serikali au? Pale Bamaga- Sinza, jamaa anasema amefunga kuuza gezi[anayostock ya kutosha] ila anasoma soko linavyoenda hili aweze kuvuna zaidi .....
Kweli tutafika kwa mbio hizi?
UMEME JUU, GESI JUU....WHAT NEXT ........
PAMOJA NA DHAHAMA KATIKA UPIKAJI WA MSOSI LAKINI KWA MWENDO HUU, MISITU ITAZIDI KUFYEKWA ZAIDI
HAPA NI WIKI YA KWANZA YA MWEZI JANUARI, 2011
Kwa njia hii ya kusini ni balaa tupu, nilipita week ya kwanza pale Vikindu check point nikaona magunia ya walala hoi yalivyokamatwa, ni mengi sana mkuu. Utaratibu waliotoa ni mgumu ajabu, eti mkulima wa Vikindu akitaka kusafirisha mkaa kwenda mjini Dar ni lazima aende Mkuranga akalipie ushuru serikali kuu kisha aende kijijini kwake ili akachukue gunia hilo moja kwenda kuuza mbagala. Yaani mkulima anatakiwa atenge siku nzima ya kwenda wilayani kulipia ushuru wa gunia moja ili kesho ndio afanye biashara,wakati mwanzo ilikuwa ukifika check point unalipia na kupita zako kama hukulipia ulikotoka.
Cha ajabu hata wafanyabiashara wa mkaa wakiona watu wanakimbilia nishati hiyo, nao watapandisha bei (hata kama hawajaathirika na factors nyingine za kibiashara)!
ngoja nijiandae kuanza biashara ya mkaa, hivi gunia dar sh ngapi?
Tena Michuzi ndo pumbavu sana kuliko waandishi wote Tanzania.alimsifia kikwete utafkiri bwana ake bila kuweka maslahi ya watanzania wenzake mbele.Yuko ka mwenzake Kibonde.yanahitajika maandamano ya nchi nzima, nchi nyingine za africa hata mkate ukipanda watu wanalalamika (pia ninashangaa watu wanaohusika na vyombo vya habari mbona hawatumii nguvu kupigania mambo kama haya) mfano issa michuzi blogg yake imekuwa ya kutangaza birthday na matamasha