Biashara ya kukodisha Muziki kwenye masherehe.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Wadau, nataka nianzishe biashara ya kukodisha muziki kwa ajili ya kupiga kwenye matukio mbali mbali hasa ya sherehe.
Kama kuna yeyote mwenye idea na biashara hii naomba ushauri.
Natanguliza shukrani.
 
Cha kwanza tafuta contact na ongea na Ma-MC maarufu bila kusahau CHA JUU chake ya Lunch/dinner ili akupe kazi. Pia hakikisha una Dj Mzuri na vyombo viwe smart na vya uhakika. Pesa ipo nje nje. La msingi anza na MC
 
Nakushukuru sana mkuu Kivumah. na kwa muziki system ya kuanzia natakiwa niandae capital ya shilingi ngapi?
 
Ni nzuri, but ni vizuri kuwa karibu sana pia na watu wanaokodisha kumbi, viti na maturubai ya sherehe ili wakupe madili, advertise vile vile utakavyoweza halafu pia weka bei nzuri ili watu waweze kuafford na upate wateja wengi, pia usisahau kufanya kazi yako vizuri na kuongea vizuri na kuwasikiliza vizuri wateja wanachohitaji, hapo itakuwa poa kabisa
 
Maximum appreciation mkuuDoreen22 .
 
Wadau, nataka nianzishe biashara ya kukodisha muziki kwa ajili ya kupiga kwenye matukio mbali mbali hasa ya sherehe.
Kama kuna yeyote mwenye idea na biashara hii naomba ushauri.
Natanguliza shukrani.

Kila MC ana muziki wake sikuhizi,sasa wewe angalia kwanza kabla ya kununua maana unaweza ukapagawa,Pili pata DJ mzuri(wote wa harusi wanafanana)...ukubali kumlipa MC cha juu baada kupata mgao wako 50,000/ na usafiri kwako!!DJ kwako!biashara sio kwa sasa maana MC wote wana miziki yao na DJ wao!!!!full music system 12m wajua,nenda pale opposite Mlimani city wanauza full set!!
 
Asante sana mkuu Skills4Ever inawezekana mambo ni tait kuliko nilivyokuwa nafikiria.
 
Nakushukuru sana mkuu Kivumah. na kwa muziki system ya kuanzia natakiwa niandae capital ya shilingi ngapi?
.. Ndibalema siku hizi ukipata Dj mjanja anaweza cheza mziki kwa kutumia program za computer i.e Visual Djs n.k, so kwa kuanzia unaweza tafuta laptop na speaker kubwa zile za kutumia ktk kumbi. Zipo maduka ya electronics
 
Last edited by a moderator:
Ndibalema,umepata ushauri mwingi wa kila aina,nipigie tafadhali nikupe experience halisi kutoka kwa mimi ninayefanya shughuli hizo!0754348782
 
Back
Top Bottom