ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,972
- 1,649
Watanzania wengi hatuamini katika elimu tulizonazo. Utakuta mtu amesomea ualimu lakini akiingia mtaani anafanya biashara ya duka. Mtu kasomea mazingira akiingia mtaani anafanyabiashara ya magari........... Hivyo hivyo kwa wafanyakazi pindi wakistaafu wanaishia kufanya kazi tofauti na walizokuwa wakizifanya mwanzoni. Yaani ni mchanyato wa ajabu kabisa