Biashara ya kufanya kwa graduate/ushauri

@ Chitambikwa..nakubaliana nayo ila si mtaalam kabisa wa kudarizi,nazan itanihitaji nirudi tena darasani ili kulfanikisha hili.
Thanx

Elimu ya juu huwa ni competence based or work based..... Tanzania elimu yetu ni competence based ambayo kama ume-graduate kweli sioni ni kwanini ufikirie kufuga kuku. Na watanzania wengi ambao hawajasoma wafikirie nn? Wafikirie mambo ya community development? Watanzania sijui tumelogwa? Kwanini ulienda soma sasa? Unataka utoe ajira ya ufugaji kuku kwa waliosoma community development au?

Mimi naamini wasomi wanatakiwa kufuga kuku na kulima ili kuleta mapinduzi ya kazi hizo ktk nchi yetu. Dhana ya kudhani wasio soma ndio wa kufanya kazi hizo ni dhana potofu.

• Thanks
Reactions: LAT
@Senator,
npo dar,ila c kwamba itakuwa kikwazo cha mm kuacha kutafuta lyf mahali pengine,lakini moshi ni mgeni sana hapo,ila nataka nikachek Moro-Kilombero,nahisi kilimo kwanza kitanitoa. Nashukuru kwa ushauri wako,ntakupa feedbac zaid

Ndugu umesema kweli.
Kwa mtu mgeni Moshi ni pagumu sana kuanza cho chote. Miji ambayo inaweza kukupokea bila taabu ni Mby,Ruvuma na Morogoro na baadhi ya Wilaya za mkoa wa Iringa,Tanga. Hii ni mikoa ambayo fursa za kujiajiri bado zipo na lishe ipo kwa bei nafuu.

Graduates wanafaa sana kujiajiri kwenye sekta ya kutapisha vyoo

Aisee ndugu yangu inaelekea una matatizo ya akili kwakweli....huwezi kuongea namna mbele ya Watanzania wenzio..huna ustaarabu kabisa..umeongea as if wewe upo very preveledged....shame on you Bujibuji...u had alot of respect from me but now sina respect kwako...really sad kwa a Tanzanian kuongea kama wewe....

Aisee Bobo kama moyo wako upo attracted na kufuga kuku please go for it quickly,you will be successful.Hizo eti degree za social dev sijui comp engineering nk sio issue kabisa.Kwanza kumbuka kuna wakati watu tunachaguliwa kwenye kozi ambazo tulikua hatuzipendi from day 1.I remember from Form Six nilichagua Comp Engineering na marks zilikua zinatosha sana ila tukapigwa chini tukapelekwa Electrical Eng pale UDSM nilikua siipendi since day 1,tuling'ang'ana kuhama bila mafanikio yoyote.Leo nafanya biashara sector zingine kabisa na nipo successful kwa level za kibongobongo,mafuta ya gari na chakula kwa familia napata bila taabu.

Fuga kuku na hiyo 3.5mil.Kuna mashamba unapata bei chee kabisa Bagamoyo mwanzoni kule,unajenga facility yako,unanunua vyakula na dawa za kutosha,unafuga na unaanza kutafuta market kwa nguvu.Pitia mahoteli yote,waandikie chief cooks au wale jamaa wa stores wanakupa deals na contracts vizuri tu ila utasumbuka mwanzoni.Kwavile una kisomo utaifanya vizuri tu,kuna sample projects na tools ya hizi poultry na utakua expert tu.Issue uwe na humble beggining tu.Inabidi upige kazi,ushike tope kweli,ubishoo kando.Utashinda njaa mwanzoni tu ila mavuno yakianza utakuja kuandika thread hapa,trust me...Achana na akina Bujibuji ubishoo wao wa ajira mbuzi usiokua na maana,ndio maana nikiwaonaga watu kama Bujibuji nawapiga bomba za kichwa akili zikae sawa maana mielimu yao ya A imewalemaza mno.

mkuu unahitaji kitu kinaitwa business exprience,hata kama una mil100 kama huna exprience huwezi kufika mbali
kama kweli umeamua kujiajiri maisha yako yote lazima uanze kwa uangalifu wa hali ya juu
mimi nafanya biashara nina kampuni lakini nilip[oanza ilikuwa ngumu sana,nilishangaa sana nilifika kip[indi kampuni ikawa kama inajiendesha yenyewe
lakini nikaja kugundua kwamba nimepata exprience ya kutosha
kuna biashara nyingi za kufanya,kwa upande wa kuku mimi sio mzoefu,ila kama ulivyosema wewe ni graduate nakushauri nenda kafanye company registration uwe na certificate,halafu tafuta trading licence
kwa ujumla unatakiwa kuwa smart
baada ya hapo nipm nitakupa next step

Hv wewe bujibuji......who r u ? Mpaka unakatisha watu tamaa.....am telling u biashara unazozizarau ndio zinawatoa watu........usiridhike na kazi za laki 9 , utakufa maskini bro......think big......bobo nakuunga mkono kwa idea yako....improvise....adapt....overcome.....one day u will be a billioner.....read well the story of late nelson muguku, founder of muguku poultry farm.....mpaka anakufa kwa siku alikuwa anaingiza sio chini ya milion 200 kwa ajili ya kuku.....chukua hatua....anza leo

Ningekua nauwezo wa kumblock huyu bujibuji asichangie kwenye hizi thread, ningefurahi sana......bujibuji unatakiwa kujua kwanini uko kwenye upo kwenye JF......nasio kuwakatisha tamaa watu......who r u ? Usichangie pumba bro....kama huna cha kuchangia u just zip ur dirty mouth.

Graduates wanafaa sana kujiajiri kwenye sekta ya kutapisha vyoo

Sijui saa nyingine usemavyo maneno yanatoka mdomoni au...?!

Inasikitisha kwa wewe kutoa haya maoni kwenye ukumbi wa great thinkers kwa kweli!

Ndugu umesema kweli.

Kwa mtu mgeni Moshi ni pagumu sana kuanza cho chote. Miji ambayo inaweza kukupokea bila taabu ni Mby,Ruvuma na Morogoro na baadhi ya Wilaya za mkoa wa Iringa,Tanga. Hii ni mikoa ambayo fursa za kujiajiri bado zipo na lishe ipo kwa bei nafuu.

@malila
nkubaliana na wewe mkuu.

Ningekua nauwezo wa kumblock huyu bujibuji asichangie kwenye hizi thread, ningefurahi sana......bujibuji unatakiwa kujua kwanini uko kwenye upo kwenye JF......nasio kuwakatisha tamaa watu......who r u ? Usichangie pumba bro....kama huna cha kuchangia u just zip ur dirty mouth.

@huyo bujbuj,

nahc ni mjinga au ni mshamba,tafadhali ajitoe tu maana huku si mahala pake,akacheze na wajinga wenzake ili avune mabua.
Bujbuj umekuwa ukicoment pumba nazan tusikulaumu ila ni udogo wa fikra zako.

Ningekua nauwezo wa kumblock huyu bujibuji asichangie kwenye hizi thread, ningefurahi sana......bujibuji unatakiwa kujua kwanini uko kwenye upo kwenye JF......nasio kuwakatisha tamaa watu......who r u ? Usichangie pumba bro....kama huna cha kuchangia u just zip ur dirty mouth.
Keep it up Buji... unasababisha watu wakune vichwa...watoe ya maana!! mkakati poa..!!

Think Big, wewe ni graduate angalau huoneshi competence ya biashara kutokana na course yako, biashara ina dimension nyingi, if your serious search for more knowlegde.
humu jamvini tutakupa a snapshot kind of ideas, but you real need to find out more.
1. Fanya simple market analysis kujua demand/mahitaji yapo kwenye product zipi?
2. Fanya personal assesment ujue atleast your capable of doing what kind of business, sio kila mtu anaweza kufanya kila aina ya biashara
3. if your really interested, show your commitment then i will assist you for business knowledge

Wadau naomba tuwe serious katika huu utandawazi, jukwaa hili kwa wenye uhitaji hulitumia kujifunza na kupata ama kutoa maelezo muhimu ya kibiashara ili kujikwamua kiuchumi, sasa nashangaa baadhi ya watu kwa kuwa tu wana access ya kompyuta na internet pale walipo basi wanatumia nafasi hiyo kuanza kucritisize, kuwakatisha watu tamaa, kuwavunja moyo, kuwakejeli na mambo mengine yasiyo ya msingi kama hayo... unachokijua wewe si anachokijua mwingine, na anachojua mwengine si unachojua wewe, kama huna cha kucomment soma threads then kaa kimya, comment responsibly, msaidie mtu kama anavyohitaji hata kama swala lishaulizwa mara milioni na wengine...kifupi naomba itifaki izingatiwe.

Ndugu Bobo naomba uwasiliane na washauri wa uchumi na biashara waliobobea ktk fani hiyo nina imani wana experience nzuri ya kukusaidia, biashara sio tu kuwa na mtaji, bali kuna mambo mengi muhimu ya kuyajua kabla hujajiingiza katika biashara hizo ama hiyo. Wafuatao ni baadhi yao ambao wamewasaidia wengi.
Chalrles - 0755 394 701
Lembu - 0774650100 au 0654650100
Mariam Tambwe - 0715 279433

@OGOPASANA
Nashukuru mkuu kwa ushaur mzur,najua msaada utakua c wa kuufaidi peke yangu bali utawasaidia na watanzania wengi wenye matatizo kama yangu.endlea kutujuza mkuu.
Naunga hoja 100%

elimu ya juu huwa ni competence based or work based..... Tanzania elimu yetu ni competence based ambayo kama ume-graduate kweli sioni ni kwanini ufikirie kufuga kuku. Na watanzania wengi ambao hawajasoma wafikirie nn? Wafikirie mambo ya community development? Watanzania sijui tumelogwa? Kwanini ulienda soma sasa? Unataka utoe ajira ya ufugaji kuku kwa waliosoma community development au?

bila shaka wewe umeajiriwa, ni vigumu sana kwa mtu aliye ajiliwa kumpa mtu ushauri wa jinsi ya kuanzisha biashara.
Kwani ufugaji wa kuku ni kwa ambao hawajasoma? Wanaomiliki interchic hawajasoma? Arusha kuna wahindi fulani wana kampuni yao inaitwa farm pourtry je hawajasoma?
Watu bado tuna mawazo mgando kwamba ukigraduate wewe ni class nyingine kabisa,
graduate naweza fanya biashara yoyiote ile inategemea yeye naiendesha vipi?
1 anaweza uza karanga
2 kuuza mboga za majani
3 kufungua kibanda cha kuuza msosi na kazalika
tuache mawazo mgando

Elimu ya juu huwa ni competence based or work based..... Tanzania elimu yetu ni competence based ambayo kama ume-graduate kweli sioni ni kwanini ufikirie kufuga kuku. Na watanzania wengi ambao hawajasoma wafikirie nn? Wafikirie mambo ya community development? Watanzania sijui tumelogwa? Kwanini ulienda soma sasa? Unataka utoe ajira ya ufugaji kuku kwa waliosoma community development au?

Makindi inaonekana ndugu yetu ushabobea kutumwa, kuagizwa na kuchungwa mno!
Kujiajiri ni ukombozi mkuu, unajifanyia kazi mwenyewe na kwa wakati wako, watu wanaotaka kujiajiri ni bomba kuwapa moyo hata kama wana PHD!
Hii inadhihirisha ambition ya mtu kwenye maisha, kuajiriwa na kupata milion na upuku puku, au kijiajiri na kujipatia hela kama hio.
Inaonekana ndugu yetu siku ukikosa kazi utajiua!

mkuu fanya  biashara yanafaka zaid maharage lakin uwe mvumilivu kwa mda mfupi ,unakiwa ukatafte porin huko kama handen,kilind,mbeye,bukoba, nk.hii haina kupumzika mwaka mzima n trip tu,

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom