biashara ya kuchana na kuranda mbao

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
ndugu wana jf kwanza nawasalimu wote, mimi ni mjasiria mali mdogo nina nia ya kuanzisha karakana ndogo ya kuchana na kuranda mbao kwenye mji mmoja mdogo mikoani kwa wadau wenye uzoefu naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii na ni wapi nitapata mashine nzuri za kisasa, natanguliza shukrani zangu
 
Nimefanya biashara ya kuchana na kuranda takribani miaka kumi sasa kama unahitajimashine ni pm jf
 
Back
Top Bottom