Biashara ya body works and spray.

dudicom

New Member
Aug 28, 2014
3
1
Naomba ushauri na vitu vinavyohitajika kufungua karakana ya kunyoosha na kupiga magari rangi wadau wa jf.
Thanks in advance.
 
Bulesi elewa sababu ya hili jukwa. Ndo maana tunalalamika umaskini.
 
Naomba ushauri na vitu vinavyohitajika kufungua karakana ya kunyoosha na kupiga magari rangi wadau wa jf.
Thanks in advance.
Spray paint booth complete set (compressor, spray gunners etc)
Panel beating machine
Welder machine
Gas cylinders
Chassis aligner/chassis rectification mechanism
Vingine ni vidogo vidogo

Baada ya hapo utahitaji kwa kuanzia
Fundi body mzuri anayejua kunyoosha hata kwa kutumia mashine
Fundi rangi mzuri
Dealer mzuri wa rangi na material yake kama thinner putt nk
 
Naomba ushauri na vitu vinavyohitajika kufungua karakana ya kunyoosha na kupiga magari rangi wadau wa jf.
Thanks in advance.
unataka kuifanya biashara ambayo huijui???
Utakumbana na changamoto nyingi sanaa, ni sawa na Fundi mwashi atake kufanya biashara ya hospitali
 
Back
Top Bottom