Biashara ya Binadam Tanzania imehalalishwa

Mimi huwa nawapenda sana waandishi wanaoandika makala za KIUCHUNGUZI,,,,,bbc wanajitahidi sana
Sikuweza kuamini kwa jinsi huyo mama alivyokuwa anaongea kwa kujiamini pasipo woga, yeye anadai biashara zote anafanya kuanzia vibinti vidogo, mashoga na hata wasagaji!!!! Kweli Tanzania imelaaniwa na kamwe majanga hayataisha!!<br />
<br />
BBC waliweza kuweka wazi kuhusu mauaji na biashara ya viungo vya albino lakini Serikali haikuchukua hatua yoyote mpaka sasa, hii inaonyesha kuwa katika biashara zote haramu zinazofanyika hapa nchini kuna viongozi wa juu serikalini wanahusika moja kwa moja
<br />
<br />
 
Leo waziri sofia na mwera wa kike wamechemka ile mbaya hata hawajui nini walichokuwa wanasema kuonesha kuwa serikali imelala!!! Kikwete amka na PINDA. Nchi inaoza!!!!!
 
Back
Top Bottom