Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

Asante sana...niatafanya hivyo... ni home bakery. Na naifungulia huko mkoani c hapa dar. Mwezi ujao nitaanza mchakato then nitawajulisha.
Asante.
 
Habari wanaforumu katika eneo nililopo kuna fursa nimeiona nayo ni kiwanda cha mikate(bakery industry)
hapa pana umeme na ni mji mkubwa lakn wafanya biashara wanalazimika kuagiza mikate hiyo mkoa mwingine zaidi ya kilometa 200.
SASA BASI KWAANAE FAHAMU GHARAMA HALISI NA VIFAA VINAVYOTUMIKA KATIKA INDUSTRY HII NAOMBA MUUONGOZO WADAU.
 
jaribu kugoogle , utapata angalau idea ya nini kinahitaji na hata makadirio ya gharama
 
Kabla sijaeleza kidogo ninachojua kuhusu kiwanda cha mikate, nigependa kukuuliza ni kipi unachojua kuhusu mikate??????
Kitu cha muhimu katika kuoka mitakate ni
1. Oven
2. Mixer
3. Slising machine/machine ya kukata mikate

NB hapo juu inategemea na size tu kulingana na mahitaji yako

Vingine ni mari ghafi kama uzijuavyo
 
kama kiwanda kikubwa unatakiwa uwe na Mil 30, unapata full set ya mashine zote za mikate kama upo silias ni PM ntakuelekeza zinapopatikana hapahapa nchini au kuagiza China almost gharama zinafanana
 
Habari wanaforumu katika eneo nililopo kuna fursa nimeiona nayo ni kiwanda cha mikate(bakery industry)
hapa pana umeme na ni mji mkubwa lakn wafanya biashara wanalazimika kuagiza mikate hiyo mkoa mwingine zaidi ya kilometa 200.
SASA BASI KWAANAE FAHAMU GHARAMA HALISI NA VIFAA VINAVYOTUMIKA KATIKA INDUSTRY HII NAOMBA MUUONGOZO WADAU.

ni wapi hapo?
 
Nili-comment uzi mmoja humu ndani kuhusu bakery industry nikataja vitu na gharama yake nimeshindwa kuukumbuka. Jaribu kuutafuta. Ukishindwa kuupata ni whatsapp +255 652 494919
 
Kabla sijaeleza kidogo ninachojua kuhusu kiwanda cha mikate, nigependa kukuuliza ni kipi unachojua kuhusu mikate??????
Kitu cha muhimu katika kuoka mitakate ni
1. Oven
2. Mixer

Vingine ni mari ghafi uzijuavyo

Mali Ghafi
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.

Niambie ukweli Jackquiline hawa watu ni wa kweli?
 
Last edited by a moderator:
Niambie ukweli Jackquiline hawa watu ni wa kweli?

Sifahamu sana kuhusu VICCOBA lakini sidhani kama unaweza kukopeshwa pesa nyingi km hizo kiurahisi hivyo, kwa kuingia tu kwny website. Kuna utapeli sana siku hizi wana forum kuweni makini.
 
Last edited by a moderator:
Sifahamu sana kuhusu VICCOBA lakini sidhani kama unaweza kukopeshwa pesa nyingi km hizo kiurahisi hivyo, kwa kuingia tu kwny website. Kuna utapeli sana siku hizi wana forum kuweni makini.

Nimefuatilia sana hii na kugundua ni uzushi. Thanks but many thanks Mama yake P buit Jf sababu ukitaka kupata ukweli tafuta humu huwezi potea
 
Back
Top Bottom