Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

mkuu vipi mvua au proper irrigation?kama irrigation sure this is a deal,na well bajaj sina uhakika kuwa ina guarantee ya mda gani!kama ni chini ya 3yrs nayo si deal kivile,well thank u much kwa michango yenu,nadhani tz tunaweza ila mawazo ya kuchangiana mtu unakosa unajikuta wajitosa kichwa kichwa at the end unaua mtaji!! very bad!!

Yaani hapo umetegemea mvua, na umelima mara moja kwa mwaka (miezi mitatu tu). The rest of the year waweza kufanya mambo yako mengine wakati ndugu yako wa bajaj anaendelea kukomaa.

Ukiweza irrigation ndio kabisa maana waweza kulima na kuvuna hata mara 3 kwa mwaka ... yaani hiyo faida hapo zidisha mara 3.

Mwaka huu mvua haijanyesha na kuna maeneo njaa ishaingia, lakini kuna mzee tumemtembelea bagamoyo mwezi uliopita na ndani ya dakika 10 tukawa tunakula mahindi ya kuchoma. Amemwagilia? wala. Indi jani bichi, anafukuza ngedere tu na punda za wamang'ati. Halafu mashamba kibao ya watu wengine yamemzunguka yanaota jani tu.

Leo nimesikia Bagamoyo inasaidiwa chakula kwa sababu ya njaa. What an irony!
 
Yaani hapo umetegemea mvua, na umelima mara moja kwa mwaka (miezi mitatu tu). The rest of the year waweza kufanya mambo yako mengine wakati ndugu yako wa bajaj anaendelea kukomaa.

Ukiweza irrigation ndio kabisa maana waweza kulima na kuvuna hata mara 3 kwa mwaka ... yaani hiyo faida hapo zidisha mara 3.

Mwaka huu mvua haijanyesha na kuna maeneo njaa ishaingia, lakini kuna mzee tumemtembelea bagamoyo mwezi uliopita na ndani ya dakika 10 tukawa tunakula mahindi ya kuchoma. Amemwagilia? wala. Indi jani bichi, anafukuza ngedere tu na punda za wamang'ati. Halafu mashamba kibao ya watu wengine yamemzunguka yanaota jani tu.

Leo nimesikia Bagamoyo inasaidiwa chakula kwa sababu ya njaa ... what an irony.

Yap mambo ya njaa tz ni kujitakia ndugu yangu mijani inaota na afya zake, ingekuwaje tungeweka mbegu za kuliwa? U cee ardhi ipo bwerere but njaa, watu wanaozungukwa na misitu na mapori kama mkoa wa Pwani, Arusha eti nao njaa! duh kaazi kwelikweli.
 
Habari zenu,

Naombeni mawazo yenu kuhusu biashara ya Bajaj, vipi inalipa? Ningependa kujua bei halisi kwanza ya kununua Bajaji

Kama nitampa mtu yaani dereva kwa siku anatakiwa alete hesabu ya sh ngapi (Kwa wiki ni bora zaidi).

Service ya bajaj ziko vipi?
 
Biashara ya bajaji si mbaya sana kama utampata dereva anayejua kutunza pikipiki yake vizuri na asitangulize tamaa ya pesa, na itahitaji usimamizi na ufuatiliaji wa karibu ikiwemo service ya mara kwa mara.

Bei ya bajaji kwa sasa ni kati 4.5-5.0 million kutegemeana na aina ya bajaji kama ni 2 stroke au 4 stroke
 
biashara ya bajaj si mbaya sana ...kwa maelezo waone kampuni ya car& general wapigie simu namba 0713-316415
Wewe ni muuza bajaji au mmiliki bajaji?

Maelezo zaidi kutoka kwa muuza bajaji hayasaidii, anataka kuuza, lazima atakuwa jaundiced halafu kampuni yako haijatulia, jina "car and general" Nilitegemea usema bajaji inaingiza kiasi gani kwa wastani, na business challenges zake, sio kulengesha duka lako la bajaji.
 
biashara ya bajaj si mbaya sana kama utampata dereva anayejua kutunza pikipiki yake vizuri na asitangulize tamaa ya pesa, na itahitaji usimamizi na ufuatiliaji wa karibu ikiwemo service ya mara kwa mara

bei ya bajaj kwa sasa ni kati 4.5-5.0 million kutegemeana na aina ya bajaj kama ni 2 stroke au 4 stroke

kwa maelezo waone kampuni ya car& general wapigie simu namba 0713-316415

Matambo,

Asante sana kwa maelezo yako. Ila ningependa kujua, dereva anapeleka kiasi gani kwa week kwa bosi.

Kufanyia service ni baada ya kilometer ngapi na ni kiasi gani inarange kwenye service.

Vitu gani katika bajaji vinatakiwa visimamiwe kwa ukaribu na bossi ambayo kama visipoangalia kwa umakini basi bajaji inaweza kuharibika mapema?

2 & 4 stroke ndio nini katika bajaji?

Nashukuru sana.
 
2 & 4 strokes ni size za injini - yaani ingine ya mapigo mawili na ingine ya mapigo 4. kumbuka kuna engine ya mapigo hadi 6 kwenye magari makubwa.

Ukubwa wa engine ndiyo ukubwa wa nguvu yake na ulaji wa mafuta unaendana sabamba, kama una gari soma kwenye kadi yako utaona hizo details yaani engine capacity.

Biashara ya bajaji ina mambo mengi sana, si dereva tu, ndugu nakushauri buni kitu kingine achana na Bajaji ungojwa na moyo ule kaka. Kama ni hela ya mkopo basi inakufanya upate presha ya kupanda na kushuka kila mwisho wa siku unapofika.
 
Mkuu bajaji biashara nzuri sana hasa ukimpata mtu mwaminifu. Kwa kawaida hesabu yake ya siku ni 15000 ila kuna jamaa pale kawe yeye ana bajaj 20 yeye hesabu yake anafanya 20000 per day na pia anakarakana yake maalum kwa kutengeneza bajaj zake tu the guy is so so sucessfully na pia huwa anawalipa madereva wake elfu 30 kila mmoja kwa mwezi kama posho.
 
Habari zenu, magreat thinkers!

Jamani naombeni mawazo yenu kuhusu biashara ya Bajaj, vipi inalipa?

Ningependa kujua bei halisi kwanza ya kuunua Bajaj ni sh ngapi? Then kama nitampa mtu yaani dereva kwa siku anatakiwa alete hesabu ya sh ngapi (Kwa wiki ni bora zaidi).

Service ya bajaj ziko vipi.

Naomba kuwasilisha
 
Hii bishara sijaifanya mkuu, Ila haina tofauti sana na Teksi au dalala dala.

Kikubwa inategemea Driver uliyempata. Kuna wakuleta story na wakuleta pesa.

Ukipata mleta pesa ni biashara nzuri tu. Ukipata mleta story utatamani kuiuza hiyo bajaji.

Bey ya bajaji brand new ni from 4.5m to 6m
 
Mlachake na Lukansola, nimewapata vizuri wadau. Nadhani nitaifanyia kazi michango yenu. Maana nataka kuaznisha hiyo biashara ila sio vibaya nikipata utaalamu kutoka hapa jamvini, pia nitamtafuta jamaa mmoja wa babaj nipate walau mawili matatu kutoka kwake. Kama kwa siku anapeleka hesabu kiasi gani kwa bosi, na je vipi service ipoje, vitu kama hivyo.
.

Asanteni sana wakuu.
 
Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja!kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka. Mnaandikiana na dereva wa bajaji ila siku akuletee shs 20,000 kwa mwezi ni laki 6. Kwa mwaka ni 7.2 milion. Hapo hakuna story. Akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo, mnaandikishana hata kwa mwanasheria. Mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake, wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.

Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda, makabati baada ya mwaka mmoja inabidi ukauzie fund majiko kama scraper. Kabajaj hakafai.

Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!
 
Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja. Kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji. Kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6, kwa mwaka ni 7.2milion!hapo hakuna story!akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.

Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda, makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper. Ka bajaj hakafai.

Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hizi zinalipa kuliko pick up. Bei yake ni sawa tu na bajaji!
Asante sana. Sikujua hili.
 
Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja!kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji!kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6!kwa mwaka ni 7.2milion!hapo hakuna story!akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.

Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda,makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper!ka bajaj hakafai!

Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!

Asante mkuu, nimekusoma fresh. Nitalifanyia kazi.
 
Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja. Kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji!kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6!kwa mwaka ni 7.2 milion hapo hakuna story, akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.

Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda, makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper!ka bajaj hakafai!Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!
Ushauri mzuri parachichi.
 
Kwa Dar bajaji zinapatikana Car N General posta mpya au BAJAJ karibu na TCC. Bei 4.8 - 5m. Maeneo mengi hesabu ni 105,000 kwa wiki. Changamoto ni kwa Dereva, ukimpata kimeo... hesabu haleti, anachangisha zake na familia yake, hajali pikipiki, kipato kitaishia kwenye service. La muhimu ni kutafuta dereva mzuri, then baada ya mwaka mmoja, uza bajaji kabla haijaanza kuzingua.
 
Habari zenu humu ndani,

Mimi ni mfanya biashara mdogo na sina muda mrefu tangu nianze biashara, najihusisha zaidi na biashara ya suti za kike ambazo naziuzia mkononi,sina duka ila natafuta wateja maofisini na sehemu mbalimbali nawapelekea, sasa nimepata hela kama 11millioni nafikiria kununua bajaji moja na bodaboda moja ili niziweke katika biashara sijui mnanishaurije katika hili je zinalipa?

Au ni biashara gani naweza kuanzisha ambayo itaniingizia faida nzuri?

mpango wangu ni kuwa nataka biashara ya suti ijiendeshe yenyewe na mtaji ukuwe kutokana na faida inayopatikana kwenye suti ndio maana hiyo hela nataka niifanyie biashara nyingine.

Sijui nimeeleweka?

Ahasanteni sana nathamini sana michango yenu.
 
kimafey, hongera kwa kuwa mjasiriamali.

Biashara ya bajaji au bodaboda kama utakua dereva wewe mwenyewe,then go ahead itakulipa sana.Ila kama unategemea kumuweka mtu jioni akuletee hela, basi jiandae kupata ugonjwa wa pressure.

Ushauri mie naona hiyo biashara ya suti inakulipa sana maana kama umeweza kupata 11millioni kwenye hiyo biashara, naona inalipa sana,ongeza nguvu huko,ikiwezekana fungua duka ili uwe na ofisi yako kabisa.

Ushauri mwingine, mara nyingi usiombe mtu ushauri kuwa nifanye biashara gani, hili ni swali linaulizwa na watu wengi sana.
Aina ya biashara utakayofanya ni wazo ambalo linatakiwa litoke kwa mhusika mwenyewe. Maana tukianza kukutajia aina ya biashara za kufanya kwa hiyo 11milioni, huenda tukajaza kitabu.
 
Biashara ni nyingi kwa mtaji ulio nao. Kuhusu bajaj na boda boda ni nzuri kama unataka kubakia mjini lakini wapi utapata dereva mwaminifu? I would advise uwe international. Search through the web for markets ya goods zinazo patikana TZ. From mauwa to matunda. The list is endless. Utapata tabu mwanzoni lakini itajisustain. Goodluck.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom