Biashara ya asali kwa soko la Afrika Mashariki

kwelwa

Member
Feb 19, 2012
34
0
wana jf naangalia uwezekano wa kuanzisha biashara ya soko la asali katika soko la afrika mashariki hususani kenya.asali hii inapatikana kwa wingi tabora,shinyanga na dodoma.pengine kuna mwenye idea juu ya biashara hii,je inalipa?japo watanzania tu woga wa kuthubutu kuingia.
 
Biashara hii inalipa, mtafute member mmoja anaitwa mkunde,atakupa abc za biashara hiyo.
 
NASHUKURU KWA RESPONSE YAKO,JE HUYU MKUNDE NITAMPATA VIPI/MAANA NAMBA YANGU 0756243968/0785404493,wazirikwelwa@yahoo.com/kwelwa@gmail.com
 
wana jf naangalia uwezekano wa kuanzisha biashara ya soko la asali katika soko la afrika mashariki hususani kenya.asali hii inapatikana kwa wingi tabora,shinyanga na dodoma.pengine kuna mwenye idea juu ya biashara hii,je inalipa?japo watanzania tu woga wa kuthubutu kuingia.

Mkuu hongera kwa kuchagua njia hii. Biashara hii inasoko sana, but sokoni inahitajika asali bora na si bora asali. Ubora unapatikana kutokana na namna nyuki wanavyofugwa, vifaa unavyotumia na jinsi unavyorina. Suala la packaging, branding na TBS approval nalo ni la msingi pia. Watembelee African Beekeepers Limited utajifunza kitu kwenye soko hili.
Kila la heri
 
Hii asali ya Tabora si ndo ile waziri aliyo sema imekataliwa kwenye soko la Ulaya, na wauzaji wengi kwa sasa wameshindwa kupeleka kule kutokana na maswala ya ubora,

Hii asali ya Tabora hasa maeneo wanayo lima tumbaku imekuwa ikikutwa na nicoteen, hali ambao imesababisha nchi za ulaya kuikataa, na hii ni kutokana na uhalibivu mkubwa sana wa mazingira unao pelekea nyuki kuto kuwa na maua ya kutosha ya kutengenezea asali hivyo kurazimu kuchukua hadi ya Tumbaku,

Ila kwa huku Africa mashariki si dhani kama kuna tatizo so unaweza uza
 
Huwa napenda asali sana ingawa ni gharama!
Fuatilia iyo biashara then lets share the facts maana ujasiria mali unalipa zaidi TZ kuliko kuajiliwa!
 
Hii asali ya Tabora si ndo ile waziri aliyo sema imekataliwa kwenye soko la Ulaya, na wauzaji wengi kwa sasa wameshindwa kupeleka kule kutokana na maswala ya ubora,

Hii asali ya Tabora hasa maeneo wanayo lima tumbaku imekuwa ikikutwa na nicoteen, hali ambao imesababisha nchi za ulaya kuikataa, na hii ni kutokana na uhalibivu mkubwa sana wa mazingira unao pelekea nyuki kuto kuwa na maua ya kutosha ya kutengenezea asali hivyo kurazimu kuchukua hadi ya Tumbaku,

Ila kwa huku Africa mashariki si dhani kama kuna tatizo so unaweza uza
Asali organic kwa sasa unaweza kuipata maeneo ya Kondoa,Kigoma,Chunya,Iringa hasa wilayani kilolo. haya ni maeneo yasiyoathiriwa na kilimo cha mashamba makubwa yanayotumia dawa za kuulia wadudu.

Tufanyeje sasa?

Kuzalisha na ku-park mwenyewe ni bora zaidi kwa sababu unaweza kudhibiti ubora. Hili la kununua kwa wadau ni tatizo sana, chakachua imeingia kila kona.
 
Mkuu hongera kwa kuchagua njia hii. Biashara hii inasoko sana, but sokoni inahitajika asali bora na si bora asali. Ubora unapatikana kutokana na namna nyuki wanavyofugwa, vifaa unavyotumia na jinsi unavyorina. Suala la packaging, branding na TBS approval nalo ni la msingi pia. Watembelee African Beekeepers Limited utajifunza kitu kwenye soko hili.
Kila la heri

tafadhali nisaidie nitawapataje hao africanbeekeepers.
 
Asali organic kwa sasa unaweza kuipata maeneo ya Kondoa,Kigoma,Chunya,Iringa hasa wilayani kilolo. haya ni maeneo yasiyoathiriwa na kilimo cha mashamba makubwa yanayotumia dawa za kuulia wadudu.

Tufanyeje sasa?

Kuzalisha na ku-park mwenyewe ni bora zaidi kwa sababu unaweza kudhibiti ubora. Hili la kununua kwa wadau ni tatizo sana, chakachua imeingia kila kona.

je unajua bei zao,na kama nahitaji kwa wingi kama lita 200 naweza kupata??
 
kama unataka tafuta mmoja kati ya hiyo mikoa iliyotajwa
ukipenda zaidi mtafute meneja wa sido ktk mkoa husika
elewa kuwa sido ipo mikoa yote ya tanzania bara
anaweza kukuunganisha na wauzaji wa asali wazuri.

hata mimi nataka nifanye hiyo biashara ila walisema msimu
wa asali unaanza mwezi wa nne.

pia naweza kukuunganisha na watu wanaotoa
trade mark kwa ajili ya uhakika wa soko, japo mimi
mwenyewe sijainunua bado.
 
Back
Top Bottom