Biashara ya alizeti

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
3,663
3,882
Jamani wadau naomba mnishauri kuhusu yafuatayo.Nahitaji kufanya biashara ya kusafirisha alizeti lakini sifahamu ABC yake,vile vile kuna watu wananishauri nifanye kusindika kabisa ili nipate faida zaidi lakini sifahamu pia ABC yake.Kwa hiyo naomba mnijuze kama ntafanya kusafirisha wapi ntapata bidhaa na soko lake ntapata wapi ikiwemo bei pamoja na viwango vinavyohitajika.Pia nkifanya usindikaji itanigharimu kiasi gani kumudu kufanya hivyo ikiwemo gharama za vifaa,wafanya kazi pamoja na soko pia kufikia viwango vinavyohitajika,ni hayo tu wakuu naombeni msaada wenu.
 
Tembeleaa SIDO AMA VETA utapata mashine nzuri, durable za kukamua mafuta ya alizeti,muza hapa hapa nchini unless uwentayari kuanza na tbs tfda na mashirika mengine ya viwango kabla hujaanza kusafirisha nje, wale jamaa watakupa na utaalam wa kuyasafisha kuhakikisha yanakuwa salama kwa matumizi ya waTz
 
Back
Top Bottom