Biashara: Kondomu ya kunasa wabakaji

Mi nilikua nimesha toa hela ya kununua hii bidhaa
ila delivery ilikua bado kidogo, niliambiwa JF ikirudi
Sasa itakuaje hapa kuhusu malipo Mkuu EMT (wa JF)?
Siwezi kulipa mara mbili kwa kitu kile kile kimoja :/

Tulia. Unajua JF ilikuwa na kwikwi kidogo mambo yakitengemaa kila kitu kitanyooka.
 
Tulia. Unajua JF ilikuwa na kwikwi kidogo mambo yakitengemaa kila kitu kitanyooka.
Asante, I am patiently waiting.
Nilikua na wasiwasi kidogo kwa kua hakuna ushahidi wa money transaction...
 
Mwali, unataka kumfanyia Ivuga nini?

Hiki kifaa kitaleta tafrani hivi karibuni.

Asante, I am patiently waiting.
Nilikua na wasiwasi kidogo kwa kua hakuna ushahidi wa money transaction...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Mwali, unataka kumfanyia Ivuga nini?

Hiki kifaa kitaleta tafrani hivi karibuni.
Saint Ivuga amesha pata mchumba mngine,
anaitwa CUTE... and she is cute, masha'allah!
Mi nataka niwe nacho tu... just in case yani...
Nimeona ile thread yenu ya matusi matusi, siji!
 
Last edited by a moderator:
baada ya wewe kumwambia EMT kibabu ameamua kuwa kibabu mcharuko.

So yummy!

Saint Ivuga amesha pata mchumba mngine,
anaitwa CUTE... and she is cute, masha'allah!
Mi nataka niwe nacho tu... just in case yani...
Nimeona ile thread yenu ya matusi matusi, siji!
 
Last edited by a moderator:
Well ,
I personally think that it's perfect, for someone not having any sex at all , but is in fear of being raped nothin' goes in !!
Reduces chances of pregnancy unnecessary or HIV infections with other sexuall transmitted diseases from the attacker .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom